Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

Ila kuita 26 kati ya post800 aloooooh mbn tutasubiri sana na hapo mtu hujui kama ulifaulu au hukufaulu
Mungu awatie nguvu kusubiri! Kuna post zingine walifanya usaili february, walikuwa wanatakiwa 100 lakini hadi sasa hawajaitwa wote!! Wameita takriban 90. Sasa nyomi ya 800 inaweza kwenda mdogo mdogo hadi mwishoni mwa 2024! Cha maana App & Web Status BOTH should read: Selected for ORAL Interview (but also not a guarantee)!!. Pia ongezeni RECEIVED, hakuna kulala hadi kieleweke, na Mungu ni mwaminifu!!
 
Kumbe status zina maana?
 
Hapana mbn yupo nnaemfahamu tulifanya nae interview na ameitwa, tulikua nae kwny usaili mwezi wa7
Kuna mtu aliniambia Kuna maksi za ufaulu wamezingatia. Sijui ni kweli, wengi waliopata written around 50 wameitwa kazini.. Wenye high performance wameachwa sa sielewi.
 
Kuitwa kazini ni kutegemeana na marks za Oral.

Marks za written ni tiketi tu ya kwenda oral.
 
Mie Bado Ndugu. Mie mwenyewe nakupa matumaini tu maana kwa hesabu Bado kama nafasi mia sita hivi kulingana na nafasi walizotangaza. Tuendelee kuomba Mungu
 
Back
Top Bottom