Recent content by OLEWAO

  1. O

    Ripoti ya Tume iliyoundwa kuchunguza ajali ya tanki la mafuta huko Morogoro imeshatoka?

    Asante mkuu. Ni muhimu watujuze maana walifanya jambo la busara Sana kuunda time bila shaka kutakuwa na mambo ya watakayo shauri jamii kuyazingatia inapotokea ajali kama hizi. Tunasubiri ripoti kwa kweli, wasijikaushe
  2. O

    Ripoti ya Tume iliyoundwa kuchunguza ajali ya tanki la mafuta huko Morogoro imeshatoka?

    Kwa kweli utekelezaji ni changamoto. Tunahitaji kujenga utamadauni wa kuwajibika na hili ni moja kati ya mambo anayo yapigania sana Mkuu wa Nchi. Awakurupushe waliopewa dhamana ya kuchunguza ajali hiyo watupe ripoti tujue.
  3. O

    Ripoti ya Tume iliyoundwa kuchunguza ajali ya tanki la mafuta huko Morogoro imeshatoka?

    Sina ripoti mkuu. Ila naona muda umepita hivi, kwani tume bado wanasua naendelea kuchunguza?
  4. O

    Ripoti ya Tume iliyoundwa kuchunguza ajali ya tanki la mafuta huko Morogoro imeshatoka?

    Mkuu, kwa jinsi tulivyopoteza ndugu zetu wengi namna ile? Ni vema na haki tujuzwe chanzo halisi cha ajali ili liwe funzo kwa maisha yanayoendelea
  5. O

    Ripoti ya Tume iliyoundwa kuchunguza ajali ya tanki la mafuta huko Morogoro imeshatoka?

    Ndugu wadau wa JF, salaam kwenu. Hongereni kwa kazi za kila siku na poleni kwa wale wote mliopata changamoto/shida/misukosuko iliyotokana na kutimiza wajibu wenu. Naomba kufahamishwa ndugu zangu kama ripoti ya Tume iliyoundwa ili kuchunguza chanzo cha ajali ya moto iliyotokana na tanki la...
  6. O

    Mafuriko makubwa Kyela: Misaada ya kibinadamu ya hali na mali inahitajika haraka

    Kwanza nawapa pole ndugu zetu. Binafsi Kyela ni kwetu, Kijiji cha Ikolo alikozaliwa Mwakyembe. Kama haja-raise voice kwa kweli hajatenda haki kama kiongozi
  7. O

    Haki za vibarua kwenye mradi

    Wadau, Kwa wataalamu wa usimamizi wa miradi ya ujenzi (project managers) naomba kujua situation kama hii kampuni ifanyeje. The issue is: Katibu wa TUICO amekuja site kwetu akiwa na madai kibao aliyodai yametoka kwa vibarua. Mawili yaliyonipa changamoto ni: 1. Tunatakiwa kuwapeleka likizo ya...
  8. O

    Yah: Uyoga, Vipepeo na Midoli Bunge la Watanzania

    Mzee Mwanakijiji, Ni uhuru wako kabisa (na kwa Mtanzania yeyote) kutoa maoni yako na fikra zako maana ni haki ya kikatiba ili mradi huivunje sheria. Nimesoma mtazamo wako juu ya wabunge wa upinzani wanaotetea kwa nguvu haki ya watanzania kupata habari ya vikao vya bunge moja kwa moja (live...
  9. O

    Uchambuzi huru: Jakaya Kikwete anafuata nyayo za Rais Vladimir Putin?

    G Sam, Mimi nionapo tu post zako huwa nasoma maana najua huwa unaadika kwa kufikiri. Lakini hii ya leo, ah! you have gone too low! sijui umepatwa na nini? au leo hujashinda vizuri? vipi kichwa kinakuuma? Anyway naungana na mchangiaji mmoja aliye-comment kuwa aliyemwakilisha rais ni makamu wake...
  10. O

    Swali la Ugomvi: Kwani Lowassa Kawa Mganga wa Kienyeji?

    Mzee Mwanakijiji, Nianze kwa kusema, mimi ni mmoja wa wasomaji wako wa makala za kwenye magazeti na kwenye mitandao. Kwa kuwa mpaka muda huu ninavyoandika ujumbe huu, bado sijaacha kusoma makala zako japo dalili zinaanza kuonesha, naweza KUTAMAUKA halafu nikaacha kusoma makala zako. Siku...
  11. O

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Kwa umaarufu wa Lowassa,wapo wanaCCM(hasa hao wa vijijini mnaojidai nao) watakaompigia kura wakidhani safari hii CCM wamesimamisha wagombea wawili; hapo ndipo kutakuwapo na kilio na kutoa makamasi kwa CCM. Endeleeni na matwaweza yenu, shauri yenu.
  12. O

    GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Wadau, Hii nimeikuta Mwanahalisi Online akiandika nguli wa habari za uchunguzi na ukachero,Ndg Saed Kubenea. Soma mwenyewe hapa chini.............. JINA la Edward Lowassa, mmoja wa wasaka urais kwa udi na uvumba, limeenguliwa katika hatua za awali za kinyang’anyiro hicho. Anaandika Saed...
  13. O

    CHAN 2016 Qualifiers: Tanzania vs Uganda

    Jamani mnalumbana tu,wengine tuko mbali hatujaona mechi,kwani tumefungwa ngapi?
  14. O

    CCM italimaliza taifa hili kwa AJALI za Barabarani kuelekea Uchaguzi Mkuu 25/10/2015

    Yericko, Yeyote asiye wa kiroho hawezi kuelewa ulichoandika. Na zaidi sana walio wa shetani watakupinga. Tuendelee kumuomba Mungu ayateketeze haya majini na mapepo yao ili tupone. AMINA.
Back
Top Bottom