Haki za vibarua kwenye mradi

OLEWAO

Member
Jan 27, 2012
89
78
Wadau,
Kwa wataalamu wa usimamizi wa miradi ya ujenzi (project managers) naomba kujua situation kama hii kampuni ifanyeje.

The issue is: Katibu wa TUICO amekuja site kwetu akiwa na madai kibao aliyodai yametoka kwa vibarua. Mawili yaliyonipa changamoto ni:

1. Tunatakiwa kuwapeleka likizo ya malipo vibarua wetu!!! kwa kuwa wamefikisha/wamezidi miezi sita. How possible is this with the project time constraint? experience yenu wadau ikoje?

2. Katibu huyo alifungua tawi la TUICO akisema tukimaliza mradi analifunga na akaongoza mkutano wa vibarua kuchagua viongozi wao, aliporejea akaja na madai ya kampuni kulipa ada kwa TUICO mkoani na kuitaka kampuni iwe inakata malipo ya vibarua kama ada yao kwa chama, hili limekaaje wadau katika miradi mingine?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom