Recent content by OleSaningo

  1. O

    JamiiForums Tanzania Amoni Mpanju: Nitagombea Ubunge KAWE kwa tiketi ya CCM!

    Naamini kwenye Low profile
  2. O

    JamiiForums Tanzania Muhongo agombaniwa kudhaminiwa

    Unamkumbuka Tarimo RIP alivyokuwa Tanesco...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole, yupo Channel ten sasa hivi

    Ewe Mwenyezimungu,sisi waja wako tunakuomba utujaalie amani,utulivu na usalama tunavyoelekea kwenye uchaguzi..wajaalie busara na hekima wote wanaowania nafasi ya u rais,UIFUNGE midomo yao kutamka kauli zinazobashiria uvunjifu wa amani na utulivu na hatimae tunakuomba utujaalie tumchaguwe...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka mwanangu hapa

    Kaloleni primary school halafu Arusha Sec wakati huo Mkuu ni Mrs Materu halafu Ilboru sec Mkuu akiwa Mr Mushi na gari yake 404...then JKT oljoro and after that UDSM.Chakula kizuri..malazi safi...wakufunzi wazuri.
  5. O

    JamiiForums Tanzania UKAWA mbona mmezubaa?

    Haya UKAWA jitayarisheni angalieni EATV..JIMBO LA KAWE MASHAKANI
  6. O

    JamiiForums Tanzania Elimu haina mwisho!

    Ni mmoja kati ya wale wataalam wachache tulio nao wenye shahada kibao na wanaotambulika duniani.
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nasikitika kuacha watanzania wengi wakiwa Maskini

    Shukran....lazima tujivunie Rais wetu kwa kutembelea dunia nzima
  8. O

    JamiiForums Tanzania Elimu haina mwisho!

    Umeshamfahamu
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kati ya Waliotangaza nia, Sijamuona rais anayefaa kuiongoza Tanzania

    BMK na Bunge la Jamhuri yamewamaliza wengi wanaogombea urais.Tumekuwa tukiwaona tabia zao na majibu yao yasiyo na msingi na dharau na uwongo wa upembuzi yakinifu nk..nk...kila mwaka.Huwezi panda Bangi ukavuna mahindi.Mzee Sita BMK litachangia sana kuanguka kwake,Asha Rose wala asijaribu kutia...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mmarekani Armstrong alipokanyaga mwezini 1969 alisikia sauti ya Azaan?

    Unashangaa ya huko Marekani....?????kwa nini usishangae ya hapa nyumbani yaani vita vya majimaji na mapinduzi ya ZNZ
  11. O

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutoa utetezi thabiti uwapo kizimbani

    Nini tofauti ya ushahidi chini ya kiapo na ushahidi bila ya kiapo...picha mnato au video zinakubalika kama ushahidi mahakamani....yaani nilinunua shamba na kwa bahati nikawa nachukuwa video ya vikao vyote mpaka kuoneshana mipaka ya shamba tukiwa na wazee wa ukoo,lakini baada ya muda...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Pajero linauzwa - for spare parts

    Ninaweka dau la 2m ili nilinunulie engine ingine ya landrover au hiace...liko wapi nitembee kuliona
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Nasikitika kuacha watanzania wengi wakiwa Maskini

    Kuna 5 continents....lakini sikumbuki kusikia kama Mh.Rais ameshafika hili bara la Australia..nijuze kama unakumbukumbu.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Elimu haina mwisho!

    Kama ulimsikia mtia nia wa urais kwenye ukumbi fulani huko Musoma,alitamka bayana amesoma mpaka mwisho.sasa wewe unataka kutuambia nini....
  15. O

    JamiiForums Tanzania CCM amueni kati ya hawa wawili

    Liwalo na liwe...let us go for a change
Back
Top Bottom