umewasoma maisha ya waserbia unataka tz nzima tuige.. wiki ijayo ukiwasoma wa australia utakuja kutuambia tena tuachane na waserbia tuwafuate hao wengine
sisi kazi yetu iwe ni kuigilizia tamaduni za wengine, leo huku kesho kule.
Alafu lazima mjue kuna maisha/tamadumi nyingine za wazungu wao...
Paula Paul nilisoma kitabu cha eastern of eden (kutokana na ushawishi wako)
aisee sijawahi kusoma kitabu kikanishusha moyo kama hicho,
baada ya kusoma nikapoteza hamu kabisa ya kusoma vitabu, imenichukua zaidi ya miezi mitatu au minne kuwa sawa.
Mkuu mbona haujasema pia kasi ya kuachana/kutalikiana ndugu zetu nyie nayo si kidogo.
dada fulani aliwahi kuniambia "yaani jinsi ilivyo rahisi kuingia kwenye ndoa,.na kutoka ni hivyo hivyo"
aliniambia hvyo baada ya kushangaa (niliona karatasi yake aliyoandikiwa talaka)mume wake aliokota...
Paula Paul wewe hausomi au haujawahi kusoma vitabu vya kiswali?? hasa vya hadithi, ningependa kujua ni vitabu gani vya hadithi vya kiswahili unapenda au umesoma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.