Recent content by olekeiy

  1. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli hatambuliki E.A.C?

    Ndugu tuko 21st century sio lazima mtu kuchomwa kisu, auwawe ama awekwe gerezani.... Kilichofanyika Zanzibar ni nini kwa mfano? Huo ni muendelezo wa ninachosema ni ubabe.
  2. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli hatambuliki E.A.C?

    Ndivyo wewe hufanya ukichukia?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli hatambuliki E.A.C?

    Nina shaka na umakini wako. Nimesema kilichofanyika haikuwa wizi wa kura - rejea matukio niliyonakili hapo. Huu ulikuwa ubabe usio na mfano. Mbona unatoa makucha saaana?
  4. O

    JamiiForums Tanzania Magufuli hatambuliki E.A.C?

    Sababu ni moja tu! Kilichofanyika Tanzania haikuwa wizi wa kura tu..... Hapana! Ilikuwa Robbery With Violence (Wizi wa kimabavu)! Kama kweli Makifuli alishinda kwa kura kulikuwa na haja gani serikali kuyavamia vituo vya UKAWA vya kujumlisha kura? Kulikuwa na haja gani ya kuivamia ile shirika...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Nec transparency - manual vote tallying (hesabu ya kura upya)

    Kwa hali hii kuna uwezekano mkubwa wa uchakachuaji
  6. O

    JamiiForums Tanzania Nec transparency - manual vote tallying (hesabu ya kura upya)

    If the Tanzania National Electoral Commission is indeed transparent and non-partisan it should heed UKAWA's plea to count the presidential votes afresh manually - using the presidential tally forms signed by Party agents at the polling centres. The International community should also join in...
  7. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Kuna shida hapa!
  8. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Kama uchaguzi haukuwa wa huru na haki, bado watataka wasimamie ukirudiwa tena? Iwapo taarifa hii ni ya kweli Tume pia ifutiliwe mbali na Tume mpya ibuniwe yenye uwakilishi(representatives) wa vyama vyote pamoja na wadau wengine.
  9. O

    JamiiForums Tanzania EATV kuanzia saa 6 mchana live

    ....... na ambao hawataweza kufika Jangwani.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Updates: Kutoka Jangwani Leo tarehe 24.10.2015

    Kampeni zimeshafanyika sasa kila mpiga kura atimize wajibu wake hapo kesho - kwa wakati uliobaki very little can change. Mimi ni Team Lowassa/UKAWA. Cha muhimu ni tudumishe amani, tusameheane kuna maisha baada ya Uchaguzi. Nawatakia wote kila heri!
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA/ UKAWA itashinda uchaguzi huu kesho 25/10/2015?

    Voter group % Total (* 22.7m) * %est turnout = 18 - 35yrs. 53%= 12m * 80% turnout= 9.6m 35 - 40yrs. 15%= 3.4m * 80% turnout= 2.7m > 40yrs 32%= 7.3m * 75% turnout= 5.5m Total expected voter turnout is 78.4% = 17.8m 18-35yrs Lowassa will get 69% (.69*9.6) =...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Rais Kikwete, muombe msamaha Lowassa kabla ya October 25!

    Pasco uko wapi katika kipindi hiki cha lala salama? Lowassa vipi safari ya Ikulu na mabadiliko nje ya CCM, iko pale pale.......
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kama 'Kulinda kura' ndio tatizo, Kusubiri matokeo' inaingia kichwani?

    Siku ya nyani kufa, miti yote huteleza! Tume yenyewe iko between a rock and a hard stone.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kama 'Kulinda kura' ndio tatizo, Kusubiri matokeo' inaingia kichwani?

    Jingalao hebu nielimishe kidogo... ni kwa nini ccm hawataki watu 'wasubiri matokeo'? Kuna nini nyuma ya pazia....
Back
Top Bottom