Nani kachomwa kisu!? Nani kauwawa!? Hivi unaujua ubabale wewe?
Ila ipo siku mtakuja kuuona ubabe hasa ndipo mtakapojua kuwa mlikua kwenye nafasi nzuri sema nyie wenyewe mmeichezea
Ndugu tuko 21st century sio lazima mtu kuchomwa kisu, auwawe ama awekwe gerezani.... Kilichofanyika Zanzibar ni nini kwa mfano? Huo ni muendelezo wa ninachosema ni ubabe.