If the Tanzania National Electoral Commission is indeed transparent and non-partisan it should heed UKAWA's plea to count the presidential votes afresh manually - using the presidential tally forms signed by Party agents at the polling centres. The International community should also join in putting pressure on the Commission Chairman Damian Lubuva.
Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inafaa kutathmini na kutilia maanani ombi la vyama vya upinzani (UKAWA) wa kuhesabu upya kura za urais wakitumia fomu zilizosainiwa na mawakala wa vyama vyote katika vituo vya kupigia kura. Tunapo ongea kuhusu demokrasia ni lazima uwazi na haki utendeke na pia uonekane kutendeka. Jumuiya ya Kimataifa inafaa pia kuingilia kati kushinikiza tume hesabu ya kura ifanywe upya ilikuepuka ukosefu wa amani. Sina nia ya kuchochea jambo lolote ila walichoitisha viongozi wa UKAWA wakiongozwa na mgombea wa Urais kupitia CHADEMA, EDWARD LOWASSA na Mgombea mwenza JUMA HAJI DUNI kwa sasa ni kidogo sana na inafaa wasikilizwe na itendeke.
Tiari tume ya uchaguzi Zanzibar imefutilia mbali matokeo yote ya uchaguzi na huo ni ushahidi tosha kuwa kulikuwa na kasoro nyingi katika zoezi lote la uchaguzi huo.
Iwapo kura haitahesabiwa upya kuna athari kadhaa;1. Mtikisiko wa udhabiti wa Muungano - Kumbuka Uchaguzi wa Zanzibar umefutiliwa mbali 2. Uchaguzi utakuwa challenged kisheria 3. Uhusiano wa Tanzania na nchi za nje utaadhirika pakubwa.
Jaji Lubuva uwanja ni wako, Uamuzi ni wako. Tenda haki!