Kwanini CHADEMA/ UKAWA itashinda uchaguzi huu kesho 25/10/2015?

Kwanini CHADEMA/ UKAWA itashinda uchaguzi huu kesho 25/10/2015?

Karibu tena Yericko Nyerere. Pamoja na kupitia milima na mabonde lakini hatimaye saa ya ukombozi imefika. Bado masaa Tu tunaondokana na zimwi lililotutafuna bila huruma kwa miaka 54.

Tuna haki ya kusimama vifua mbele na kujipongeza kwani kazi tuliyoifanya si ndogo. Mbinu na njama zote za kukwamisha mabadiliko zimekwama.

Mkuu Mag3 imekiwaje ule uzi ulioanzisha Jana kusuhu yule MTU mwenye uRAIA wa NCHI mbili mbona siuoni?,au wameunyofoa kwa maslahi ya GAMBAZ?
 
Last edited by a moderator:
Kura za majeshi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kisheria zilitakiwa kupigwa tarehe 23, lakini kwa siku mbili mfululizo yaani 22 na 23 vyombo hivyo vinapiga kura, kuna utata mkubwa na kuna usiri mkubwa katika kura hizi.
Tathimini yako kichekesho

Nipo kundi la vijana ila sipo CCM wala UKAWA na vijana wa aina yangu wapo wengi tu, ambao hatuamini iwapo tunachokitaka katika mustakabali wa Taifa hili kitaletwa na UKAWA ama CCM, na siamini kila kila kijana wa rika hilo lazima anakuwa mwanamabadiriko kupitia UKAWA. Umeongelea nguvu 5 za kisiasa kwa maana ya UKAWA ila umesahau kabisa kuwa hata huko Masasi kwa aliyekuwa mgombea wa NLD mzee Makaidi (rip) alikuwa hatakiwi, serengeti, segerea, na majimbo mengi sana kuna migogoro ya kutoaminiana kati ya nguvu ya wana UKAWA ambako tumeona makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja hazikuheshimiwa - kwa mazingira hayo sifahamu unaongelea ushindi gani. Humu ndani nimeona kuna post inataja majimbo 11 ambayo ukawa itashinda kwa uhakika na mjadara wake unaonyesha kabisa hio mada inasapoti upande wa ukawa -hivyo kama inaonekana ukawa ina uhakika wa majimbo 11 sasa huo ushindi wa ukawa unatoka wapi? Kwa bahati nimekutana na mizoga miwili wa mbwa na wa nguruwe na nipo jangwani - itanilazimu kula mzoga wa nguruwe kuliko wa mbwa. Nakubaliana na Kinjekitile Ngombare Mwilu kuwa wapinzani mjipange upya ushindi bado upo kwenye mzoga wa Nguruwe.
 
@Yericko kuhusu Lowassa kupata kura sio swala tena inaeleweka kura anazo na ushindi hupo uhakka.Tatizo linakuja tumejiandaa vip kupokea matokeo ya NECA Kwa maana lazma walete madudu,Je hatua zip tutachukua NEC iktangaza upinzani imepoteza wakati ukweli si hvyo?

Mkuu usiwaze kuhusu NEC kwangu Mimi tungemsimamisha SLAA au LIPUMBA ningekuwa na Hofu sababu watu hao wanaBEI ambayo CCM wanaijua lkn kwa LOWASA kitachoipa ushindi CCM ni KURA nyingi zisizokuwa na Maswali EDO aliwekeza kusaka hiyo nafasi miaka mingi so Akithibitisha kushinda nilazima NEC wamtangaze kwahiyo ndg chakufanya nisisi wapenda mabadiliko kutimiza wajibu wetu basi
 
Tathimini yako kichekesho

Nipo kundi la vijana ila sipo CCM wala UKAWA na vijana wa aina yangu wapo wengi tu, ambao hatuamini iwapo tunachokitaka katika mustakabali wa Taifa hili kitaletwa na UKAWA ama CCM, na siamini kila kila kijana wa rika hilo lazima anakuwa mwanamabadiriko kupitia UKAWA. Umeongelea nguvu 5 za kisiasa kwa maana ya UKAWA ila umesahau kabisa kuwa hata huko Masasi kwa aliyekuwa mgombea wa NLD mzee Makaidi (rip) alikuwa hatakiwi, serengeti, segerea, na majimbo mengi sana kuna migogoro ya kutoaminiana kati ya nguvu ya wana UKAWA ambako tumeona makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja hazikuheshimiwa - kwa mazingira hayo sifahamu unaongelea ushindi gani. Humu ndani nimeona kuna post inataja majimbo 11 ambayo ukawa itashinda kwa uhakika na mjadara wake unaonyesha kabisa hio mada inasapoti upande wa ukawa -hivyo kama inaonekana ukawa ina uhakika wa majimbo 11 sasa huo ushindi wa ukawa unatoka wapi? Kwa bahati nimekutana na mizoga miwili wa mbwa na wa nguruwe na nipo jangwani - itanilazimu kula mzoga wa nguruwe kuliko wa mbwa. Nakubaliana na Kinjekitile Ngombare Mwilu kuwa wapinzani mjipange upya ushindi bado upo kwenye mzoga wa Nguruwe.

Tongotongo zimezama mpaka kwenye iris umepofuka moja kwa moja
 
Kura za majeshi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kisheria zilitakiwa kupigwa tarehe 23, lakini kwa siku mbili mfululizo yaani 22 na 23 vyombo hivyo vinapiga kura, kuna utata mkubwa na kuna usiri mkubwa katika kura hizi.

Hizi ndo zinahifadhiwa wapi baada ya zoezi kukamilika?
 
Kura za majeshi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kisheria zilitakiwa kupigwa tarehe 23, lakini kwa siku mbili mfululizo yaani 22 na 23 vyombo hivyo vinapiga kura, kuna utata mkubwa na kuna usiri mkubwa katika kura hizi.
YERICKO sijakupata kabisa! Kuna kura hupigwa kabla ya siku rasmi! Mawakala huwepo au?
 
Mkuu Yericko Nyerere, kwanza ulipotelea wapi?
 
Leo ndio mwisho wa CCM kukaa madarakani.
 
Tunazo sababu na wajibu mkuu wakutamka kuwa Ukawa itashinda Uchaguzi huu bila chembe ya shaka kwakuwa kazi yetu imekamilika na wajibu uliosalia ni wa umma tu kwenda kupiga kura kuhalalisha ushindi huu ambao tayari tumekwisha utafuta na kuupata.

Zipo sababu kubwa kuu tatu za kushinda uchaguzi huu ambazo ni: Moja, wapiga kura takribani milioni kumi na mbili kati ya milioni ishirini na tatu wanaotambuliwa na Tume ni vijana walio na umri chini ya miaka 35. Na kati yao wapo watu milioni nane ni vijana waliozaliwa baada ya mfumo wa vyama vingi. Hawa ni waumini wa mabadiliko ya kweli yaani ya kuzaliwa.

Muungano wa Ukawa unaundwa na nguvu TANO za kisiasa zenye tarajali ya kushika dola bila kuathiri matakwa ya kisiasa. Ni nguvu za mwamko wa ujana katika siasa za upepo wa mwanguko wa madili wa ccm zikibebwa na Chadema, hizi zipo kwenye miimo ya HASIRA ya Umma dhidi ya udharimu wa ccm.

Zipo nguvu za Utaifa zinazoongozwa na Cuf kwa mwavuli wa Utanganyika na Uzanzibar chini ya Serikali ya Shirikisho la Tanzania, hawa wananguvu na wanachagizwa na anguko la mgeuko wa ccm dhidi ya kero za Muungano huku ccm hiihii ikichochea machafuko ya kiroho visiwani humo.

Zipo pia nguvu za kiitikadi ya kimageuzi hizi zinaongozwa na NCCR MAGEUZI, hapa kuna nguvu kubwa ya kiitikadi ikichagizwa na uzalendo na utu mtu.

Zipo pia nguvu za usawa na machipuzi ya utu mtu, hizi zina moto mkubwa zikiongozwa na NLD.

Na mwisho zipo nguvu za Mh Lowassa zinazotamalaki kwa chagizo la Safari ya Matumaini zenge nguvu ya anguko la ccm chini ya mchoko wa fikra za mwenyekiti.

Nguvu hizi kwapamoja ni NGUVU ya Ukawa kuelekea Magogoni kwa kauli moja ya MABADILIKO! LOWASSA...!!!!

CCM kwa sasa sio chama cha siasa tena bali dola lililojitwalia mamlaka ya kuhujumu taifa hili bila luzuku wala vat.

Ukawa kwa sasa haipambani na chama chochote cha siasa kwenda ikulu bali inapambana na muungano wa vyombo vya ulinzi vya nchi vilivyo utumwani mwa ccm kifikra.

Ni mapambano ya kuhakikisha vyombo hivi vinaruhusu matakwa ya umma ya heshimiwe kwa maana ya votting na vetting waliyoizoea.


Njia tuipitiayo UKAWA ni hii na kazi imekwishaaaaaa!!!

Voter group % Total (* 22.7m) * %est turnout =

18 - 35yrs. 53%= 12m * 80% turnout= 9.6m
35 - 40yrs. 15%= 3.4m * 80% turnout= 2.7m
> 40yrs 32%= 7.3m * 75% turnout= 5.5m

Total expected voter turnout is 78.4% = 17.8m

18-35yrs Lowassa will get 69% (.69*9.6) = 6.624m
Magufuli 30%(.3 *9.6)= 2.880m
Others. 1% (.01*9.6)= 0.096m

Above 35yrs Lowassa. 40% (.4*8.2)= 3.280m
Magufuli. 57% (.57*8.2)= 4.674m
Others. 3% (.03*8.2)= 0.246m

LOWASSA 9.904m 55.64%
MAGUFULI 7.554m 42.44%
OTHERS. 0.342m. 1.92%
 
tujikumbushe kuwa yeriko aliwahi kusema hivi
 

Attachments

  • 1445665753848.jpg
    1445665753848.jpg
    28.5 KB · Views: 81
Back
Top Bottom