Recent content by ole sururu

  1. ole sururu

    Ni hakika, Adam na Eva si binadamu halisi wa kwanza!

    Na wa oduvai? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. ole sururu

    "Wakuu Nataka niende Tanzania nipe Sifa ya Hiyo na Jinsi ya Kuishi"

    Mnorway anaitwa kajamaa kadogo.Dah!kifaa cha chuga ni nouma sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. ole sururu

    Mradi wa kutengeneza mvua.

    Mimi ninatengeneza radi bila mvua Sent using Jamii Forums mobile app
  4. ole sururu

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Igwamadete Sent using Jamii Forums mobile app
  5. ole sururu

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    Akida,siri yako,wifi,mahuta,tanganyika bus,african bus,ss grewal,samma,lushanga,lake transport,cocabes,magoma. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. ole sururu

    Kama Dunia inazunguka jua kwa Spidi kubwa kwanini vyombo vilivyo nje ya dunia haviachwi?

    Hutu nae ataachwa? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. ole sururu

    Je, unafahamu kabla ya kuzaliwa ulikuwa nani?

    Mimi nilikuwa Clinton America Sent using Jamii Forums mobile app
  8. ole sururu

    Nimekuta mafuta ya KY na Baby Care kwenye mkoba wa mpenzi wangu

    Labda anao watoto nje ya ndoa anawapaka hayo mafuta.Husimhukumu.
  9. ole sururu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO kuna tatizo hapa Tunduma boda kila jumamosi.Umeme unakatawa kila jumamosi asubuhi hadi usiku, watu au wateja wanakwamwishwa ktk shughuli zao zakimaendeleo na mjue hapa ni boda kazi ni kila siku.Jirekebisheni jamani.Au bado kuna mgao au ni mazoea?jibu.
  10. ole sururu

    Unamiliki nini katika Umri huu?

    Nina nyumba 70,mashamba heka 50000,Ng'ombe 60000,watoto 32 wajukuu 148,vitukuu 88,mbwa 50,paka 126,malori 600,kuku 200000,swimming pool juu ya mlima kilimanjaro na mto rwaha penye mamba.Tv ninatumia projector.Kumbuka nina miaka 24.
  11. ole sururu

    MSAADA: Hivi mbinguni kuna kuoa na kuolewa?

    Subiri ukifa utapata jibu baada ya kiyam.
  12. ole sururu

    Hali ya Hewa Tulivu Dar es salaam kama Moscow Russia vile

    Dah! kama Alaska vile naona dunia imegeuka juu chini.
  13. ole sururu

    Orodha ya mabasi, routes zake na wamiliki wake

    Lake transport,tawakal,samma,adventura,saratoga,Fadhil mawese,visram,kebsi,Horeza,Lushanga,sabuni,Luhuye,Batco,Mwanza coach,Bunda bus,Akida,Mahuta,African,super samy,super shem,victoria,takbir.
Back
Top Bottom