Tatizo pia kuna watu wanavuta hovyo na hawazingatii usafi wala chakula tu ii kitu Ni nzuri baada ya kumaliza shughuli zako jioni umeoga na uwe na uhakika wa kula
Sometimes hua inatokea Unarudi home kusalimia from daslam umeshine na kasmartphone kakuzugia unakuta Kuna baadhi madogo uliowaacha kitaa wamejenga na wana familia maisha yanaenda. Mbaya zaidi ukijitafakari life lako uko dar unajihurumia mwenyew ila ni siri yako tu, nimeshuhudia sana lifestyle ya...
Masaa 9 kidogo hivyo, mm niliachana na kazi ya masaa 12 mshahara laki 3 apo ulipe kodi ule na ndugu pia wanakutegemea wakijua upo na job town. Niliwaza future yangu na sikupata majibu
Lema ni mpumbafu sana ana akili za kitoto sana bora angetulia aendelee na harakati nyingine za chama sababu Arusha ilikua wazi kabisa na yeye pia ajua kabisa 2020 hawezi shinda ubunge
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Uyo anaangalia tu upepo ila kwa Arusha hana chake tena, ana kazi ngumu kufanya Wana Arusha wamuamini tena. Namshauri aanze kugombea udiwani kwanza Apo 2025 otherwise anajitafutia aibu nyingine ya kuangukia pua
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.