Jambo la kwanza cdm ikikata nchi, ipunguze matumizi ya serikali kuu ( cost reduction ) futa wakuu wote wa wilaya, kurugenzi mbalimbali zizizokuwa na tija katika taifa hili, majimbo yaanzishwe haraka sana, futa viti maalum, na kama ni muhimu ziwe 10 tu, tena kwa makundi maalum na idadi hii iwekwe...