Recent content by Old story

  1. Old story

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi: FBI wamenitaarifu Serikali ya Tanzania imewapa kazi Mexican cartel waniue

    Aliambiwa kwa mdomo au kwa barua athibitishe kwa barua me nianze kuchukia yote haya
  2. Old story

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri na Kamishna wa Elimu wameshindwa kusimamia mwongozo wa likizo? Wanafunzi walazimishwa kusoma wakati wa likizo

    Mtoto kupumzika ni sawa lakini angalia usomaji wa wakat wa shule ni tofauti na na usomaji wakat wa likizo sema changamoto mzazi unawaza kufata muongozo wa elimu kwa kuwa unakuta majukumu yamekubana hela cjui ya kulipia hiyo tution huna.Ila kiuharisia mtoto kusoma likizo ni sawa hasa kwa madarasa...
  3. Old story

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Takwimu za Mawasiliano Robo ya Mwaka inayoishia Juni 2024

    hizo za dar nyingi ni zile za tuma kwenye namba hii
  4. Old story

    JamiiForums Tanzania Naanza kujawa na mashaka. Yawezekana haya mambo ya Iran/Israel ni michongo tu, tunachezewa akili na wakubwa

    asa hivi sio zama za kukariri flan ni mkali wanyonge wa sasa wamepiga hatua hakuna anae taka kukurupuka na iran wanajua kashaota pembe
  5. Old story

    JamiiForums Tanzania Hatuhitaji vita vya kikanda na Iran-Waziri Mkuu wa zamani wa Israel

    ingekuwa ni htari sema watu tunashindwa waza kwa nn iran atoe taarifa saa 72 kabla ya tukio
  6. Old story

    JamiiForums Tanzania Irani na Israeli wana Undugu usioyumba, Makombora 300 ya Irani naona kama ni Propaganda

    unaijua dron anazo tumia Rusia nani kamfundisha tengeneza na nani anamuuzia hizo 300 ni robo ya robo ya makombora yote
  7. Old story

    JamiiForums Tanzania Israel yatoa hofu kwa mataifa ya Kiarabu kwamba haitawagusa

    Iran anakibur asa hivi mtoto kaota ndevu mpeni wembe
  8. Old story

    JamiiForums Tanzania Makombora mengi ya Iran yatua na yapiga vituo vya kijeshi nchini Israel

    nilicho penda Marekan anachezeshwa singeli asa hivi amsaidie nani sijajua kama ndo putin anachezesha mchezo au mchezo umemwendea upande wake wakat akicheza
  9. Old story

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    kwani alisema anasaga nn
  10. Old story

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa PEPMIS, Utumishi mmekurupuka kuuleta

    Serikali ilipiga hesabu kama kishikwambi kilituma taarifa za sensa na ni kijiji lazima na ww mwalimu utatuma tu wanasahau mawakala wa sensa walikuwa wanaenda sehemu yenye mtandao ndo wanatuma
  11. Old story

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Kitanzania waliokoa BBC hasa Kipindi cha Asubuhi cha 'Amka na BBC' acheni huu Unafiki wenu na hi Chuki yenu

    Hahaaaa wanaita Gaza simba kimataifa
  12. Old story

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Mtamtoa roho maharage ya mbeya subiri mteule tuone kama mvinyo ni uleule ila chpa ndo mpya au vyote ni vipya
  13. Old story

    JamiiForums Tanzania Maharage Chande aondolewa TANESCO, apelekwa TTCL. Gerson Msigwa awa Katibu Mkuu Wizara ya Michezo

    Mtamtoa roho maharage ya mbeya subiri mteule tuone kama mvinyo ni uleule ila chpa ndo mpya au vyote ni vipya
Back
Top Bottom