Recent content by olame ndame

  1. olame ndame

    Natangaza rasmi kuwaunga Mkono CHADEMA na UKAWA

    Ni fedheha sana kuona watzn tunapotezavmuda mwingi kuwatukana na kuwadhalilisha watu tena viongozi eti kwa sbb za kiitikadi.Freeman Mbowe ni kiongozi wa kisiasa kama walivyo viongozi wa chama cha mapinduzi na baba wa familia. Ni watu waliopungukiwa akili tu ndio wanaoweza kuona kuwa...
  2. olame ndame

    Tetesi: Watangazaji wa kike TBC wagoma baada ya kutakiwa kuvua Hijabu zao wakati wa kutangaza

    Imani zao ziheshimiwe kwani zimelindwa na kaiba;kana kuna mapungufu waelekezwe na si kuwanyanyasa kwa ajili ya mavazi yao.mbona wavaa nusu uchi wanaachwa huru?
  3. olame ndame

    Mbunge wa Longido Onesmo Nangole (CHADEMA) huenda akavuliwa ubunge kwa kufoji elimu

    Kwa sababu ni wa CHADEMA mnapaza sauti,yametokea zaidi ya hayo kwa wale wa CCM hamkusema badala yake mlitetea
  4. olame ndame

    Watoto wa Reginald Mengi wapo tofauti sana

    Kichwa ndio utambulisho wa mwili mzima.Ukiskia fulani kichaa inamaanisha kichwa chake hakipo sawa.Nidhamu ya watoto wa R.Mengi ni mfano wake yeye kichwa cha familia.Hata mkewe Jacklyn hana makuu.Waendelee kujiangalia
  5. olame ndame

    "Nyie kapigeni kura najua jinsi CCM wanavyoiba kura mengine niachieni" - Lowassa na uongo wake

    Mimi nashindwa kuwaelewa wanaombeza Mhm Lowassa.kutoka mioyoni mwenu mnajua ni kiongozi mzuri, mnajua alishinda uchaguzi uliopita lkn kwa sbb binafsi mnakubali kutumika kuendelea kumdhalilusha mzee huyu kana kwamba ni mhalifu.Mbona hana kinga yoyote huyu,kwa nini msimshitaki.Mimi nilishangaa...
  6. olame ndame

    Bunge kuzungumzia hoja ya wapinzani kuhusu Naibu Spika

    Hilo halitawezekana.wabunge wa CCM wanalishwa(kuapishwa) yamin kulinda maslahi ya chama(raisi)navsi ya taifa.Hata K.Lgda aliyeunfana na wenza wa upinzani kukataa uonevu kwa wanafunzi wa udom ktk hili atamtetea tulia.katibu wa bunge atatimiza wajibu ili ionekane utaratibu umefuatwa ila hakuna...
  7. olame ndame

    Mwana FA kavuta jiko

    Hilo sio jiko ni mke.jiko linanubuliwa sokoni,ni kitu.
  8. olame ndame

    Ni lini Rais Magufuli amerasimisha kazi za Halmashauri kwenda Serikali Kuu?

    Mimi nikisoma BIBLIA naona manabii na mitume walifanya kazi ya kuwaonya na kuwashauri wafalme na watawala.Wachungaji kazi yao kulilisha ,kulitunza na kuliangalia kundi la Mungu lililo chini yao.Kwa kuwa wakati huu hakuna tena manabii na mitume(kwa mujibu wa Biblia);ni kazi ya wachungaji na...
  9. olame ndame

    MWANZA: Polisi kwa kushirikiana na JWTZ wapambana na Majambazi usiku kucha

    Kama wanataka kuheshimika na wananchi wajitambue na kukataa kutumiwa na watawala kunyanyasa wengine.Wasimame katikati,wasrme ukweli lkn pia watumie akili zao
  10. olame ndame

    Rais Magufuli, Mama Ndalichako, mnadhani mko sahihi kuichukulia Div.3 ya Sayansi sawa na ya Arts?

    Well said lkn je kuna mtawala anayeweza kukuelewa wkt itikadi zimechukuwa nafasi kubwa ktk uongozi wa nchi?
  11. olame ndame

    Nasubiri Siku J.Kikwete Ajibu Mapigo ya J.Magufuli

    JK hawezi kumjibu JPM kama mnavyotabiri.Anajua mwenzie ndiye anayemlinda.Kumbukeni wakati wa kampeni alisema akimwachia JPM nchi atakwenda zake msoga kulala usingizi, akimaanisha hatasumbuliwa.Haya anayoyafanya JPM ni mambo madodo kwa JK kwa namna katiba ya sasa ilivyo.
  12. olame ndame

    Uhovyo wa Serikali ya awamu ya tano na tunakowapata marais wetu

    Ujinga wetu mtaji kwa wajanja.Tuelimike ndg zangu.
  13. olame ndame

    Akina dada kulamba kunawanyima haki ya kuolewa

    Hongera kwa kuliona hili.Wasaidie na hawa wanajiuza fb.
Back
Top Bottom