Uhovyo wa Serikali ya awamu ya tano na tunakowapata marais wetu

Mar 17, 2016
71
91
Akijaribu kuelezea uzito wa nafasi ya uraisi mama Hilary Clinton alisema
"Every president faces hard choices every day, with imperfect information and conflicting imperatives. ... Making the right call takes a cool head and respect for the facts. It takes a willingness to listen to other people's points of view with a truly open mind. It also takes humility -- knowing you don't know everything -- because if you're convinced you're always right, you'll never ask yourself the hard questions."

Nukuu hii inajaribu kuonyeasha kinadharia jinsi gani nafasi ya uraisi ilivyo nzito, inayohitaji utulivu(temperament) wa hali ya juu hasa katika mfumo wa kidola kama wetu ambao rais ni mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.Uzito wa majukumu na mamlaka anayopewa rais(kama mkuu wa nchi) na athari ya msimamo,dhamira,matamshi na matendo yake hugusa kila mwananchi moja kwa moja au vinginevyo hivyo kila hatua anayochukua lazima itoke kwenye kichwa tulivu kilichopima kila chaguzi na rundo la habari kutoka kwa wasaidizi wake lakini kauli yake ndio ya mwisho(everyone serve for pleasure of president)

Swali lakujiuliza je maraisi wetu wanatoka wapi? Katika kuangaza hili lazima turudi chini katika uimara wa taasisi zote za kimalezi zinazomjenga kiongozi tangu akiwa mtoto katika jamii zetu(nchi) .Taasisi zote muhimu katika malezi ya kiuongozi kama familia,shule,ofisi, taasisi za kisiasa na jamii kwa upana wake.

-Je Rais wetu bora anapikwa na hivi vyama vya siasa ambavyo havina itikadi(tafadhali usilete hoja yako ya chama chako ni cha kijamaa), ambavyo kwao kusema kweli ni kazi ngumu kama dereva wa daladala kuacha kupita barabara ya mwendo kasi?

-Au ni hivi ambavyo unafiki na kujipendekeza ndio nguzo ya kupata vyeo kiasi kwamba mtu kama Polepole na Mzee wangu Warioba(namuheshimu huyu mzee) walitukanwa hadi kunusurika kupigwa zaidi ya mwaka na wanachama na viongozi wakuu wa chama chao kwamba wameleta katiba ya maoni ya mfukoni mwao kisha wakazunguka kwenye kampeni nchi nzima wakiaminisha Lowassa pekee ndio alikua kikwazo lakini mpaka sasa serikali mpya inatoa msimamo kwamba mchakato wa katika unaendelea(hatua ya kupiga kura) angali huyo Lowassa(asiyeitaka hiyo katiba) hayupo tena ndani ya chama wala serikali na wasihoji chochote huku wakijipa kifuani kwamba ahadi ya uanachama chao ni kwamba "NITASEMA KWELI DAIMA ,UONGO KWANGU MWIKO"

-Au ni hivi vyuo ambavyo wasomi wake(wakubwa wakubwa) kama maprofesa wakiendelea kudai na kuhubiri chanzo cha umasikini wetu(waafrika)ni ukoloni karibu nusu karne baada ya kua huru kama vile nchi za Asia na Amerika hazikuwahi kutawaliwa huku wakiweka usomi wao mfukoni kujipendekeza kwa watawala wajanjawajanja?

- Au ndio hivi vyuo ambavyo msomi mkubwa wa uchumi anadai kukosekana msaada wa MCC hakuna athari yoyote kwani Tanzania yetu ina mali nyingi ina uwezo wa kujitegemea bila msaada wala kukopa(overnight) huku akiorodhesha maliasili tulizojaliwa kama gesi akijisahaulisha kabisa waziri mwenye dhamana Prof Muhongo alishasisitiza matunda ya gesi hatuwezi kuyaona kwa haraka?
-Au hizi ofisi zetu ambazo mfanyakazi asiyejitajirisha kwa wizi na anasimamia maadili anaonekana mnoko na anakua kichekesho cha ofisi kwamba ana damu ya kimaskini hivyo pesa inamdhuru?

-Au wanapikwa na kutoka kwenye jamii yetu ambayo kusema uongo ni "fasheni" kiasi kwamba zaidi ya nusu ya watu moja ya swali ambalo gumu kujibu kwa ufasaha kuliko yote ni UKO WAPI SASA HIVI?....kama yupo Dar atajibu yupo Dodoma au kama unamsubiri Posta ndio kwanza anatoka Mbezi atasema yupo Magomeni mataa anaingia sasa hivi na hakuna mtu anayeshtuka daladala nzima?

Athari ya haya yote ni kupata kiongozi(kwa muktadha wa hapa raisi) ambaye ametoka kwenye jamii ya watu waongopaji(dishonest),chama kisicho na itikadi,viongozi hata wanachama wanafiki ambao kwao ukweli na kuwa na msimamo ni bidhaa ghali wasiyoimudu kwani itawagharimu vyeo.
-Rais ataongoza uchumi wa nchi kama uchumi wa familia (micro-economy) akipanga vipaumbele na matumizi yeye kwamba chukua hii mia tano kanunue nyanya,hii mia moja kanunue chumvi kama vile hakuna wachumi serikalini na bunge lililopanga bajeti,

-Utakua na wananchi (hata wanajiita wasomi)ambao hawana uelewa na hawajui thamani ya ukweli hivyo utapata wakati mgumu na mara nyingi usifanikiwe kabisa kuwaelewesha thamani ya ukweli hasa kwa viongozi wa umma na kisiasa kwahiyo watashuhudia kwa macho yao na kusikia waziri akisema kwa kauli thabiti bungeni na kwenye vyombo vya habari(hadi vya kimataifa) "wanafunzi hawana tatizo kabisa waliodahiliwa waliokua na ufaulu mzuri wa kwenda hadi form 5 tatizo ni mgogoro wa kimalipo kati ya serikali na wahadhiri wao" kisha kesho yake Rais anasema mbele ya waziri "walikua ni vilaza waliopata 4 na 3 na serikali haiwezi kuwapa mkopo vilaza" kisha wote wakaonekana wamesema ukweli na kisha wewe unayehoji mgongano huu ukaonekana mpinzani na umetumwa na mafisadi wanautumbuliwa

-Mkuu wa nchi atasema kwa macho makavu mbele ya wanazuoni na viongozi wastaafu waliobobea kwenye siasa na sheria kwamba askari wa barabarani wachomoe 'matairi' ya magari ya wakosaji wa sheria barabarani kisha wakayauze na akashangiliwa na usione yoyote amejitokeza angalau kusema tu aliteleza au alikosea na ukaamka kesho hakuna chombo cha habari kilichoripoti inavyopaswa kauli hiyo na tukio hilo.

-Utakua na kamati ya bungeni iliyopachikwa jina la Kamati ya HAKI,MAADILI na MADARAKA ikaamua kutumia neno la mwisho tu "MADARAKA" na kujiongezea neno wanalolipenda zaidi "VIBAYA" kisha wakasimamisha wabunge zaidi ya watano wa upinzani sababu walikosa nidhamu kwa kusimama bila kuruhusiwa na kiti kisha wakajisikia vibaya au huruma kwa waziri aliyeingia bungeni amelewa chakari(kwa mujibu wa serikali) kupoteza cheo chake muhimu cha uwaziri wasimchukulie adhabu yoyote ya kibunge(muhimili mwingine kabisa).

HITIMISHO

Nothing can thoroughly prepare anyone to be perfect president lakini kwa kiwango kidogo kabisa tunatarajia anayetaka na kupewa urais anajua uzito wa nafasi ya urais na wajibu wake dhamira njema na uchungu wa kubadilisha mambo ni muhimu lakini si pekee bali zaidi UWEZO, DIRA na UTULIVU usio na kipimo katika maamuzi.

Note:
Taifa Stars inaweza kuwa na dhamira na uchungu sana wakuifunga mfano Misri magoli 5 na kucheza AFCON lakini kama uwezo haupo ni kutwanga maji kwenye kinu.

Kwa kinachoendelea katika uhovyo huu na reaction ya wananchi there is only one explanation.....

PEOPLE WITH LITTLE OR NO EXPECTATIONS ARE HELL DIFFICULT TO DISSAPOINT!

TUJIELIMISHE.
 
Umegusa mtima wangu. Kuna vichekesho ndugu yangu nchi hii halafu watu tunaamini kabisa nchi hii itakuwa ya viwandaa na wanaohubiri viwanda ndio hao wanaotoa lugha gongana hivyo achia mbali bajeti hiyo ya kuleta nchi ya viwanda!!!
 
-

Kwa kinachoendelea katika uhovyo huu na reaction ya wananchi there is only one explanation..... PEOPLE WITH LITTLE OR NO EXPECTATIONS ARE HELL DIFFICULT TO DISSAPOINT!
TUJIELIMISHE.
Collection of garbage, little substanc- long phrases to impress readers. Do you think this nation is so stupid to believe in manipulative and pilitically motivated ideas?You may have the courage to insult, and skewing the ability and intelligence of the president, including name calling, but you have a long walk to October 2020 and beyond. A moron at best.
 
ungenisadia sana kama ungeonyesha garbage na insults zangu nadhani ni bahati mbaya hujafanya hivyo..... here what I know is common to all people accustomed to dishonest and lying....they tend to substitute truth and honesty as offensive or insult in their dictionary and that's not my problem!
 
ungenisadia sana kama ungeonyesha garbage na insults zangu nadhani ni bahati mbaya hujafanya hivyo but if not here is what I happen to know is common to all people accustomed to dishonest and lying....they tend to substitute truth and honesty as offensive or insult in their dictionary and that's not my problem!

Collection of garbage, little substanc- long phrases to impress readers. Do you think this nation is so stupid to believe in manipulative and pilitically motivated ideas?You may have the courage to insult, and skewing the ability and intelligence of the president, including name calling, but you have a long walk to October 2020 and beyond. A moron at best.
 
Mada km hizi hazipati wachangiani wengi. Na hapa kumuona mtu wa Lumumba ni ngumu sana na akija jiandae kupokea kapu la matusi.
Ngoja nipate kahawa nitarudi baadae.
 
Mleta Mada big up sana, hii nchi maduduwasha mengi sana, ukiwa nje ya mfumo wao na ukatoa ushauri tofauti na matakwa yao wewe sio mtanzania ni mpinzani, wananchi wanawaza maendeleo lakini vichwa vya viongozi wetu wao wanapiga mahesabu ya uchaguzi ujao, hawana muda wa kumsaidia mlala hoi, ndio maana kila kitu kwao ni NO.
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu... ina hitaji mtu mwenye open mind kukuelewa na sio aliyejifungia ndani ya itikadi ya chama chake.. sio rahisi kila mtu kukuelewa hapa, ila umegusia vitu vingi vya muhimu kiundani zaidi. na honestly this post is worth being a front page in this forum.
 
Mtoa mada ur fucking geneous.........salute mingi kwako hasa kwenye hiyo quote ya huyo bibie.
 
Akijaribu kuelezea uzito wa nafasi ya uraisi mama Hilary Clinton alisema
"Every president faces hard choices every day, with imperfect information and conflicting imperatives. ... Making the right call takes a cool head and respect for the facts. It takes a willingness to listen to other people's points of view with a truly open mind. It also takes humility -- knowing you don't know everything -- because if you're convinced you're always right, you'll never ask yourself the hard questions."

Nukuu hii inajaribu kuonyeasha kinadharia jinsi gani nafasi ya uraisi ilivyo nzito, inayohitaji utulivu(temperament) wa hali ya juu hasa katika mfumo wa kidola kama wetu ambao rais ni mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.Uzito wa majukumu na mamlaka anayopewa rais(kama mkuu wa nchi) na athari ya msimamo,dhamira,matamshi na matendo yake hugusa kila mwananchi moja kwa moja au vinginevyo hivyo kila hatua anayochukua lazima itoke kwenye kichwa tulivu kilichopima kila chaguzi na rundo la habari kutoka kwa wasaidizi wake lakini kauli yake ndio ya mwisho(everyone serve for pleasure of president)

Swali lakujiuliza je maraisi wetu wanatoka wapi? Katika kuangaza hili lazima turudi chini katika uimara wa taasisi zote za kimalezi zinazomjenga kiongozi tangu akiwa mtoto katika jamii zetu(nchi) .Taasisi zote muhimu katika malezi ya kiuongozi kama familia,shule,ofisi, taasisi za kisiasa na jamii kwa upana wake.

-Je Rais wetu bora anapikwa na hivi vyama vya siasa ambavyo havina itikadi(tafadhali usilete hoja yako ya chama chako ni cha kijamaa), ambavyo kwao kusema kweli ni kazi ngumu kama dereva wa daladala kuacha kupita barabara ya mwendo kasi?

-Au ni hivi ambavyo unafiki na kujipendekeza ndio nguzo ya kupata vyeo kiasi kwamba mtu kama Polepole na Mzee wangu Warioba(namuheshimu huyu mzee) walitukanwa hadi kunusurika kupigwa zaidi ya mwaka na wanachama na viongozi wakuu wa chama chao kwamba wameleta katiba ya maoni ya mfukoni mwao kisha wakazunguka kwenye kampeni nchi nzima wakiaminisha Lowassa pekee ndio alikua kikwazo lakini mpaka sasa serikali mpya inatoa msimamo kwamba mchakato wa katika unaendelea(hatua ya kupiga kura) angali huyo Lowassa(asiyeitaka hiyo katiba) hayupo tena ndani ya chama wala serikali na wasihoji chochote huku wakijipa kifuani kwamba ahadi ya uanachama chao ni kwamba "NITASEMA KWELI DAIMA ,UONGO KWANGU MWIKO"

-Au ni hivi vyuo ambavyo wasomi wake(wakubwa wakubwa) kama maprofesa wakiendelea kudai na kuhubiri chanzo cha umasikini wetu(waafrika)ni ukoloni karibu nusu karne baada ya kua huru kama vile nchi za Asia na Amerika hazikuwahi kutawaliwa huku wakiweka usomi wao mfukoni kujipendekeza kwa watawala wajanjawajanja?

- Au ndio hivi vyuo ambavyo msomi mkubwa wa uchumi anadai kukosekana msaada wa MCC hakuna athari yoyote kwani Tanzania yetu ina mali nyingi ina uwezo wa kujitegemea bila msaada wala kukopa(overnight) huku akiorodhesha maliasili tulizojaliwa kama gesi akijisahaulisha kabisa waziri mwenye dhamana Prof Muhongo alishasisitiza matunda ya gesi hatuwezi kuyaona kwa haraka?
-Au hizi ofisi zetu ambazo mfanyakazi asiyejitajirisha kwa wizi na anasimamia maadili anaonekana mnoko na anakua kichekesho cha ofisi kwamba ana damu ya kimaskini hivyo pesa inamdhuru?

-Au wanapikwa na kutoka kwenye jamii yetu ambayo kusema uongo ni "fasheni" kiasi kwamba zaidi ya nusu ya watu moja ya swali ambalo gumu kujibu kwa ufasaha kuliko yote ni UKO WAPI SASA HIVI?....kama yupo Dar atajibu yupo Dodoma au kama unamsubiri Posta ndio kwanza anatoka Mbezi atasema yupo Magomeni mataa anaingia sasa hivi na hakuna mtu anayeshtuka daladala nzima?

Athari ya haya yote ni kupata kiongozi(kwa muktadha wa hapa raisi) ambaye ametoka kwenye jamii ya watu waongopaji(dishonest),chama kisicho na itikadi,viongozi hata wanachama wanafiki ambao kwao ukweli na kuwa na msimamo ni bidhaa ghali wasiyoimudu kwani itawagharimu vyeo.
-Rais ataongoza uchumi wa nchi kama uchumi wa familia (micro-economy) akipanga vipaumbele na matumizi yeye kwamba chukua hii mia tano kanunue nyanya,hii mia moja kanunue chumvi kama vile hakuna wachumi serikalini na bunge lililopanga bajeti,

-Utakua na wananchi (hata wanajiita wasomi)ambao hawana uelewa na hawajui thamani ya ukweli hivyo utapata wakati mgumu na mara nyingi usifanikiwe kabisa kuwaelewesha thamani ya ukweli hasa kwa viongozi wa umma na kisiasa kwahiyo watashuhudia kwa macho yao na kusikia waziri akisema kwa kauli thabiti bungeni na kwenye vyombo vya habari(hadi vya kimataifa) "wanafunzi hawana tatizo kabisa waliodahiliwa waliokua na ufaulu mzuri wa kwenda hadi form 5 tatizo ni mgogoro wa kimalipo kati ya serikali na wahadhiri wao" kisha kesho yake Rais anasema mbele ya waziri "walikua ni vilaza waliopata 4 na 3 na serikali haiwezi kuwapa mkopo vilaza" kisha wote wakaonekana wamesema ukweli na kisha wewe unayehoji mgongano huu ukaonekana mpinzani na umetumwa na mafisadi wanautumbuliwa

-Mkuu wa nchi atasema kwa macho makavu mbele ya wanazuoni na viongozi wastaafu waliobobea kwenye siasa na sheria kwamba askari wa barabarani wachomoe 'matairi' ya magari ya wakosaji wa sheria barabarani kisha wakayauze na akashangiliwa na usione yoyote amejitokeza angalau kusema tu aliteleza au alikosea na ukaamka kesho hakuna chombo cha habari kilichoripoti inavyopaswa kauli hiyo na tukio hilo.

-Utakua na kamati ya bungeni iliyopachikwa jina la Kamati ya HAKI,MAADILI na MADARAKA ikaamua kutumia neno la mwisho tu "MADARAKA" na kujiongezea neno wanalolipenda zaidi "VIBAYA" kisha wakasimamisha wabunge zaidi ya watano wa upinzani sababu walikosa nidhamu kwa kusimama bila kuruhusiwa na kiti kisha wakajisikia vibaya au huruma kwa waziri aliyeingia bungeni amelewa chakari(kwa mujibu wa serikali) kupoteza cheo chake muhimu cha uwaziri wasimchukulie adhabu yoyote ya kibunge(muhimili mwingine kabisa).

HITIMISHO

Nothing can thoroughly prepare anyone to be perfect president lakini kwa kiwango kidogo kabisa tunatarajia anayetaka na kupewa urais anajua uzito wa nafasi ya urais na wajibu wake dhamira njema na uchungu wa kubadilisha mambo ni muhimu lakini si pekee bali zaidi UWEZO, DIRA na UTULIVU usio na kipimo katika maamuzi.

Note:
Taifa Stars inaweza kuwa na dhamira na uchungu sana wakuifunga mfano Misri magoli 5 na kucheza AFCON lakini kama uwezo haupo ni kutwanga maji kwenye kinu.

Kwa kinachoendelea katika uhovyo huu na reaction ya wananchi there is only one explanation.....

PEOPLE WITH LITTLE OR NO EXPECTATIONS ARE HELL DIFFICULT TO DISSAPOINT!

TUJIELIMISHE.
What a peace of work!
 
Lowasa ni taka taka gani hizo!
 
Collection of garbage, little substanc- long phrases to impress readers. Do you think this nation is so stupid to believe in manipulative and pilitically motivated ideas?You may have the courage to insult, and skewing the ability and intelligence of the president, including name calling, but you have a long walk to October 2020 and beyond. A moron at best.

M_kara
Not sure if you're called by tribe or code named?!
Let me say this mkara, what Hillary Clinton said is nothing else but just a naked truth! Try to think big and out of that box of yours! If the Americans will vote Hillary for the US presidency, I am not sure if your president calling name can have guts to construct even a simple english word before the US president!
I am sorry to say that he will never ever!
In your tiny brain, can you tell why the president who have stayed in office more than half a year now but hasn't crossed boarders to the US,EU,ASIA,RUSSIA etc to introduce himself to Tanzania main donors?
There is something somewhere very wrong and must be addressed immediately!Tanzania can not survive like an oasis in the desert or an island in the sea!
 
Back
Top Bottom