Recent content by olaipa

  1. olaipa

    JamiiForums Tanzania SoC03 Huu ndio mwarobaini (Suluhu) dhidi ya mimba kwa watoto wa kike mashuleni na majumbani

    asante kwa andiko lenye kufirikisha,kwa upande wangu nakubaliana na wewe juu ya swala la watu kumalizana kinyemela pale maswala ya ukatili na unyanyasaji kwa watoto wa kike yanapotokea,kuhusu suruhu panahitaji mjadala mpana sana ili kuweza kukomesha jambo hili
  2. olaipa

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimeachwa mwenzenu

    Pole. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. olaipa

    JamiiForums Tanzania USHAURI TAFADHALI:mke kagoma kubadili dini yake

    Jaribu kuongea nae.ila inaonesha hatua aliyofikia cjui kama anaweza kukubaliana na wew.kikubwa ongeen kuhusu dini ya watoto . Sent using Jamii Forums mobile app
  4. olaipa

    JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke ananichanganya, hatumii njia yoyote ya mpango na nikimuuliza mimba vipi anasema atabeba akihitaji

    Ni mke au cyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. olaipa

    JamiiForums Tanzania Mume wangu haniweki Profile Picha katika Mitandao ya Kijamii, nifanyaje?

    Pole yake kwakuwa anajipa mawazo yasiyoyalazima.kuwekwa picha kwa profile siyo uthibitisho kwamba unapendwa.hebu muambie aangalie mambo mengine aachane na profile kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. olaipa

    JamiiForums Tanzania Mikoa 18 kati ya 27 Tanzania ina wagonjwa wa COVID-19

    Hatar Sent using Jamii Forums mobile app
  7. olaipa

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

    Hoja mfu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. olaipa

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Ajenti wa Basi la Kisibo akanyagwa na Basi hilo na kufariki hapo hapo wakati akirukia kwenye Basi hilo

    Mungu aiweke roho ya marehemu Athuman mahali anapostahili.pole kwa familia kwa msiba wa ghafla duh Sent using Jamii Forums mobile app
  9. olaipa

    JamiiForums Tanzania Tarime: Mbunge aamua kupambana na Corona kwa vitendo, asambaza Sanitizer na vifaa vya kunawia Jimbo zima

    Jambo jema mno Sent using Jamii Forums mobile app
  10. olaipa

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

    Kuna msikiti flani waliwakamata ,,wakawajaza kwa gari wakaenda kusota mbele ya safar..kibaya walikutwa na bunduki. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. olaipa

    JamiiForums Tanzania Bibi harusi amkimbia bwana harusi baada ya kugundua si muhasibu wa shirika la mafuta kama alivyoaminishwa awali

    Duh ,,hii Kali,,,jamaa angemdanganya kwenye utongozaji tuu....karibia kufunga ndoa au baada ya kuona mwanamke kazama angemuambia ukwel. Sidhan kama angesema ukweli yy mwenyewe angeachwa...but bora kuachwa kimyakimya kuliko huko kudharilika dunia yote...pole kwa bwana harus
  12. olaipa

    JamiiForums Tanzania Chris Mauki: Hatua tano za penzi

    Amen
  13. olaipa

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu baada ya kutoa mimba kwa vidongenge majibu ni haya

    Narudia teña usirudie kufanyaa huo upuuz na mwanafunz ,,chunga tamaa mbaya,kuna bint alikufa hivihiv shulen enz hizo boarding...akameza midawa kumbe uchafu ukabaki...kwenda hospital ya wilaya hakurud hai alikuwa mfuu...pale cdhan km hata aliyempa km alionekana msibani...inaumiza sana...
  14. olaipa

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu baada ya kutoa mimba kwa vidongenge majibu ni haya

    Ck nyingine usirudie,,,yaan unatembea na miaka 30 jela we jamaa uache kabisa,,,dhambi ya kuua itakuandama utakuwa mzoefu ck zijazo,,,haya jibu ni ck saba,,ungeomba ushaur kabla hujaharibu ningekushaur sawasawa
Back
Top Bottom