kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 7,759
- 14,474
YAMKINI!YAMKINI!
napita tuafundishe vijana kujenga viwanda vikubwa tuunde ndege hapa hapa nchiniAfundishe vijana ujasiriamali sio kila siku mapenzi. Utakuta mtu hana uhakika wa kupata milo mitatu. Halafu unamuambia mambo ya mapenzi kamwe hawezi kukuelewa.
Mapenzi kwanza ujasiriamali baadae.Dah huyu Jamaa mada zake huwa sizielewagi, elimisha vijana kuhusu ujasiriamali ili wapambane na ukosefu wa ajira, watapendanaje wakati usiku wanalala njaa
Mbona wewe unampangia mauki?Mkubwa hapangiwi choo
Wapo wanaofundisha hayo uyatakayo nenda kajifunze kwao, muache mauki afundishe kile alichochagua kufundisha. Ukiona hakikufai wapo ambao kinawafaa.afundishe vijana kujenga viwanda vikubwa tuunde ndege hapa hapa nchini
Wapo wanaofundisha hayo uyatakayo nenda kajifunze kwao, muache mauki afundishe kile alichochagua kufundisha. Ukiona hakikufai wapo ambao kinawafaa.
asante kwa kuliona hilo,,mkewe kilaza haswa,,,halafu anaandika hashtag ya jina lake,unakuta kaandika "#MiriamMauki",,,,,yaani vituko juu ya vitukoHuyu jamaa bhana!!Hivi ushauri yeye ni lazima iwe saikolojia ya mapenzi?
Ujanja ujanja mwingi sana,eti mpaka mkewe naye mshauri,halafu hata kuandika huko insta mkewe ni shida
Utaona anaandika "Jinsi ya kulizika na mumeuliyenaye"