What your saying is perfect true and parent should notice this as a example to there family for sure, So that we could have a good people and responsible
Pole dadaa, tatizo ni vile amechukulia here watu wanafanya mambo bila kumaanisha dat y hawezi kuwa na wewe imeshajijenga akilini mwake, pia kuna uwezekano anakupenda na hayupotayari kuwa na wewe kwasababu, may be he has a family . so kwa ushauri tu just stay a way na huyo mtu kama anakupenda pia...
Pole, kama ndivo atakavo na wampenda mpenzi wako na yeye anakupenda bac chukua huwamuzi wa kumuomba mkapime wote mjue afya zenu then muwe makini katika mambo mengine.
Siku zote mwenye kutaka kufanya ulimwengu uwe katika hali nzuri upingwa, na wahusika kupata hisia za kwamba yu anawasabababishia hasara ama kuwaharibia maisha yao, kifo cha veronika ni cha kusitkitisha na cha kinyama,hakustahiri hilo kifo cha namna hiyo. ila ndo hivo ukijifanya yu mwema sana...
Nikwambie kitu hawana lolote hao ulowahi kuwa nao kimahusiano na tena hawajua thamani ya hiyo zawadi ulonayo,pia walitaka tu kukuchezea na kukuacha kutokana na hilo mungu amekuepushia,tulia dada utampata wa ukweli mwenye kujua thamani ya hicho ulichonayo. Mumeo atajivunia juu ya hilo so endelea...
Wanaume hawakubali kuachwa na ikitokea hivo basi itamgarimu akuharibie haswa akiona unamtu mwenye kujiweza na mko na furaha atafanya juu chini haichukue happiness yako. cha kufanya ongea na boyfriend wako wa sasa muelezee situation ilivo then yeye atajua namna ya kukusaidia okay, mpuuze huyo X...
Mkosefu wa akili na ni mfinyu wa akili so achana nae,Hana adabu na huenda ata shemeji na watoto zake anatafuna huyo. Pole mwenzangu hayo matatizo yanatukuta sana kwenye ofic za watu
Y kujiingiza katika hatari ona sasa umeiachia maumivu familia yako iliyo kuwa ikikutegemea! Pole kwa familia yako na mungu akuhukumu kwa matendo yako Amin.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.