Recent content by okudo64

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mbowe, Jipime kwa mustakabali wa CHADEMA, Kinusuru Chama

    Hauna akili katafute chama cha baba yako acha kutuzuga wewe ccm
  2. O

    JamiiForums Tanzania MISIBA! Msiba, misiba, Kifo kinatisha kwa kua hakuna aijuye kesho yake. laiti...

    But ukawa mbele kwa mbele
  3. O

    JamiiForums Tanzania MISIBA! Msiba, misiba, Kifo kinatisha kwa kua hakuna aijuye kesho yake. laiti...

    Jaribu kucheck kauli yako kifo kimeandikwa wala hakuna anaebaki but siku zinatofautiana
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima bei nafuu sana

    Material vipi??
  5. O

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kwenda zako kwani umeombwa kutangaza hutuba tumeshachoka kamsikilize mwenyewe
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hon Mizengo P. Pinda amua moja, kusuka ama kunyoa

    Acha udini
  7. O

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    Huoni hata aibu magari yaendayo kasi mlango kushoto stand katikati inamaana waziri wa jpm akujuwa hilo
  8. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nina bachelor ya nursing

    Acha uzembe hakuna tanzania aliye maliza bachelor ya nursing then bado anatafuta ajira Nenda Ccbrt hutapata nafsi
  9. O

    JamiiForums Tanzania Tahadhari kwa UKAWA

    Sijaona cha ukanda kwa hiyo ambao tunatoka kanda ya Ziwa tumchague pombe kwa sababu hanatoka huko kwa sasa mabadiliko muhimu ukanda pembeni bango siyo issue
  10. O

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Badilika hata kwa Second usikalie kuhusema watu wa bora wavuta bangi aina mantik
  11. O

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Inamaana hayo huahoni macho yaho yamezibwa na hukuta wa pemba
  12. O

    JamiiForums Tanzania Dhambi ya usaliti aliyo nayo Lowassa ilianzia kwa baba yake mzazi wakati wa kudai uhuru

    Haha kazi za kufanya hapa haangalii kukana umeru bali tumechoka ccm
  13. O

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayekuhonga

    Hayo ni ujinga ya kwenu tatizo vijana wengi wanapenda mteremko hawataki kufanya kazi ndiyo maana wengi wetu ni mashoga
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, Kama Sio Nguvu ya Soda, Then ACT ni Tishio. Hawa ni The Underdogs, Huwezi Kuwapuuza

    Pereka chama chako kamtafute zito
Back
Top Bottom