born to win
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 561
- 168
Je, mwanamke akikuhonga kitu anachokithamini sana ni kwamba;
1. Anakupenda?
2. Anakujali?
3. Anakuzuga tu?
4. Anaonyesha Kuwa matawi ya juu?
5. Anakudanganya ili wewe umuhonge zaidi?
Majibu yenu muhimu
Inategemea maana asiye na mapenz ya kwel sizan kama atapoteza pesa zake kukuonga wakat hakupend so hivyo hivyo hata kwa wanawake akikupenda kwa dhat anakuhudumia coz anajua utakuwa wife wa baade au husband wa baade so ni upendo tu na MTU kukupa kitu siyo kwamba we we huna uwezo wakununua ameoenda kukupa kama gift hill neno kuhongwa linaegemea upande wa mabitch