Tunachimba visima bei nafuu sana

Tunachimba visima bei nafuu sana

Nikikuchimbia kwakua nataji helayako nitahua kampuni mkuubei nilio weka kwajili yakufanya kilicho bora nasiokuchukua pesa yako
 
umbali mrefu zaidi ambao mtu anaweza kupata maji na umbali mfupi zaidi wa maji kupatikana ni mita ngapi?
 
Unajua mm sikatai shark mbona uta wapata watu mpk elf 40000 kwamita ila vifaa watakavyo tumia nifeki ya hatari kwangu mm kua na wateja 10 kwa mwaka niheri kuliko kua nawateja 100 kwamwaka ambao wameniulia kampuni kwakua tu nimewakea vifaa vyabei yachini kisha wanatangaza kampuni yangu inatoa huduma mbovu

Umesahau mara hii kuwa umesema kwa bei nafuu sana?
 
Kulingana nabei nilio panga nakulingani navifahaa nanikitu chakudumu nisahii kwakuasoko nihuria mkuu
 
Mm kwangu mita nachimba kwa elf 65,000 we ukipata kwa 50,000 huria minangalia gharama za vifaa vyenyeubora na mudawangu wafanyaji wakazi kisha naweka bei

Watu wanataka uainishe kwamba kuchima mita 1 ni 65000 lakini maji yakipatikana m10 ni 650 000.pia weka na vifaa vinavyo hitajika, unashindwa hapotu hiyo kampuni unaimiliki vipi?
 
AAya mkuu karibun

Hii elfu 65 .ni pamoja na pipe PVC. Au ni gharama za uchimbaji tu. PVC pipe class B inauzwa elfu 40. Ina urefu wa mita 4. Bila kujali ni plain au screening. Gravel ni sh 3 elf kwa kiroba. Pump doying ni sh laki tatu na 30. Rod ina urefu wa 2 metres.
 
Karibuni saivi tunachimba kwa mita elf 55 kwasasa
 
Tunatoa pumpu tunasafisha Visima na water survey bei zetu nafuu sana
 
Aisee we jamaa umeshindwa kabisa kujieleza..., kiasi kwamba nikihitaji huduma yako hata sijui nijiandae bei gan...!

embu nifanyie mahesabu ya kila kinachohitajika ili niende tu na ndoo yangu kuchota maji, ikiwa kisima kitakuwa cha mita 30.
 
mita elf 55,000 kwaiyo 30×55,000=1,650,000
 
Picha zamaahine sijakulew mkuu
 
Mnachimba kisima mita ngapi kutoka kwenye shimo la choo maana kuna ndugu kaanzisha uzi wa maji taka sijamuelewa kabisa
 
Mkuu kumbe MTU kanzisha uziwake nivyema ukamwambie akuleweshe mkuu
 
Mimi nipo Dumila Morogoro, mnawezaje kuja ku survey na kunishauri? Gharama ni kiasi gani?
 
Fika stend msamvu kunawahindi nitafute kwenye namba yangu manakutoa sisi mpka huko nilaki 5 mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom