Ukitoa herufi 'N' katika neno NDOA utapata neon DOA na ukishindwa kurudisha herufi 'N' itakulazimu utoe herufi 'D' ili usiwe na DOA na hivyo utabaki na neno OA. huyo utakaye muowa atakuwa msafi.
Bwana Simyu yetu naomba unijuze Lowasa anagawa pesa saa ngapi na wapi Maana mimi na jamaa zangu tumekuwa ni wahudhuliaji wazuri wa mikutano ya Lowasa na sijawahi kupata pesa wala kusikia wenzetu wengine kama nao wamevuta mpunga... Naomba unijibu hilo... vinginevyo acha kuweweseka acha sindano...
Kama watanzania hawatapata mabadiliko ndani ya CCM Basi watayapata nje ya CCM, na upinzni wa kweli utatoka ndani ya CCM. Hiyo ni mijineno ya Mwalimu Nyerere.
And get to know that An enemy of yours is YOUR Friend.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.