Huu ndio ukweli kuhusu maisha ya ndoa

Huu ndio ukweli kuhusu maisha ya ndoa

By hair

Senior Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
141
Reaction score
37
Ukweli kuhusu maisha ya wanandoa hasa katika kipengele cha usafi ni kwamba,Ukikuta mwanaume ni msafi,basi Mwanamke atakuwa mchafu.Na Mwanamke akiwa msafi,vilevile mwanaume atakuwa mchafu.Sasa hapo usipokuwa makini ndoa itakushinda mapema.La kufanya asiye na mapungufu amwambie mwenzie wapi anakokosea.Shida wanandoa wanaogopana kuhusu swala Hilo.Ukiwa mwuwazi kwa mwenzio nae aliye na mapungufu akawa mwelewa,basi maisha yatasonga.
 
pole sana kama unamatatizo ya kuoga, kaombewe, hizo ni dalili za kichaa!
 
binafsi naamini mke akiwa msafi hawezi ruhusu mume awe mchafu hali kadhalika kwa mume pia na suala la usafi mtu huanzia kwao ukiona mtu mchafu ndani ya ndoa yake ujue hata kwao ni mchafu
 
Inaonekana u mkubwa ki member ila kiumri hapana nina wasiwasi kwakweli. - mada sijaikomenti
 
Ndoaaa n sawa na DOA likiingia kwenye nguo n ngumu kutoka .niishie hapo
 
ukiwa unafananisha vitu viwili ua zaid kimoja kitakua zaid ya kingine/vingine!!!
 
ukiwa unafananisha vitu viwili au zaid kimoja kitakua zaid ya kingine/vingine!!!
 
Siku hizi kila mtu ni mtaalam wa ndoa, ndoa haina formula la sivyo mama Rwakatale asingekuwa mpweke/mjane maana ni mtaalam wa kufundisha mambo ya ndoa.
 
Ukweli kuhusu maisha ya wanandoa hasa katika kipengele cha usafi ni kwamba,Ukikuta mwanaume ni msafi,basi Mwanamke atakuwa mchafu.Na Mwanamke akiwa msafi,vilevile mwanaume atakuwa mchafu.Sasa hapo usipokuwa makini ndoa itakushinda mapema.La kufanya asiye na mapungufu amwambie mwenzie wapi anakokosea.Shida wanandoa wanaogopana kuhusu swala Hilo.Ukiwa mwuwazi kwa mwenzio nae aliye na mapungufu akawa mwelewa,basi maisha yatasonga.
Khaa!! Usafi upi unauongelea? usafi wa mwili (michepuko)? usafi wa mdomo (lugha chafu)? au kutoweka vitu mahali pake? Funguka bana
 
Mhhh sio kweli,not always the case wapo couples wote wawili wasafii
 
Ndoaaa n sawa na DOA likiingia kwenye nguo n ngumu kutoka .niishie hapo
Ukitoa herufi 'N' katika neno NDOA utapata neon DOA na ukishindwa kurudisha herufi 'N' itakulazimu utoe herufi 'D' ili usiwe na DOA na hivyo utabaki na neno OA. huyo utakaye muowa atakuwa msafi.
 
Back
Top Bottom