Amezaa na mke wa mtu watoto watatu!

Awadai kwani mke wake yule. Imekula kwake hapo. Kitanda hakizai haramu. Kwa kuwa ni mke halali wa jamaa na mke kaonekana na ujauzito kazaa hata wangekuwa kumi hakuna wa kuhoji hao watoto wamepatikanaje kwa sababu huyo mama ana mume.
 
Nimeguswa sana na suala hili
Sitaki kurudia yote ya wachangiaji wenzangu ila, kitendo cha kutembea na mke/mume wa mtu bila kinga kwa karne hii ni sawa na kujitupa baharini wakati hujui kuogelea. Sijui hata nimuite jina gani????

Ila cha msingi hapa; Kijana Anapaswa aende kwenye vitabu vya dini na vya sheria za nchi hii..aulizie Ndoa maana yake ni nini? Huwezi kudai watoto kwenye ndoa ya mtu. Faida yako hapo umekula uroda wa bureee bila kuutolea matumizi.
Mimi naku hurumia kwani sijui ni kabila gani unayepambana naye ila kama ni haya ya huku kwetu ukifanya mchezo...tutakubadilishia jina at no time.

kama unajipenda don't dare! Utajutia maisha yako yote kama utabahatika kuwa hai!!!
 
Hana chake pale kwsbb alipanda kwenye shamba la mtu hivyo mazao ni mali ya mwenye shamba.
 
Kwani wakati anafanya huo upuuzi lengo lilikuwa watoto au wizi wa starehe? Kama statehe kwa nini sada ageuke
 
wana JF,

Kuna jirani yangu ambaye alikuwa anauhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu. Ameniambia kwamba mwanamama huyo ndiye aliye mshawishi wawili hao wawe wapenzi bila kujali mumewe (ndoa yake). Baada ya miezi 5 mwanamama huyo alipata ujauzito na alipojifungua mtoto alifanana kabisa na rafiki yangu. Mume wa mwanamke wala hakuhoji!!

Baada ya muda wapenzi hao waliendelea na kamchezo! Mama huyo akapata ujauzito tena na mtoto wa pili alifanana na huyu rafiki yangu! Huyu rafiki yangu yeye aliogopa na kuamua kuhama mji kwani alihofia usalama wake kwa mume wa yule mwanamama.

Alikaa mkoa wa jirani takribani miaka mi tano! Rafiki yangu huyo baada ya muda alirejea tena jijini Arusha na kukuta katika kipindi chote hicho yule mwanamama na mumewe hawajapata mtoto mwingine.

Yule mwanamama alianza tena tabia yake kwa kumhakikishia kwamba mumewe hana tatizo na hawezi jua kuhusu uhusiano wao! Punde yule mama akashika ujauzito! Alipojifungua mtoto wa tatu alifanana sana na huyu rafiki yangu.

Ndipo huyu rafiki yangu aliamua kufuatilia kwakaribu ili ajue undani zaidi na ndipo alipogungua kwamba mwanamama huyo na mumewe walikuwa wamepanga mchezo wote kwani jogoo la mumewe 'haliwiki'

Sasa wana JF, huyu kijana hajaoa lakini anauhakika wa 100% kwamba watoto wale watatu ni wake...

Je, anayohaki ya kuwadai watoto hao kuwa ni wa kwake?

Je, afanyeje ili aweze kutendewa haki?

Mwizi pia anahaki Ya kudai kumbe?
 
Ulishawahi kuckia mwenye jogoo anaenda kudai mayai au vifaranga??

Kwanza kakosea kudate na mke wa mtu tena kwa ujacri akapata naye watoto3..atapigwa ka nyau huyo rafiki yk
 
Okay, kama jamaa ni mpumbavu, huyo mwanamke aliye mke wa mtu aitweje?

Au yeye hana kosa kabisa kwa sababu yeye ni mwanamke na ni mke wa mtu na hivyo mwenye kosa hapo ni huyo jamaa aliyezini (na kuzaa na mke wa mtu na si kumzalisha) na mke wa mtu?

Mke wa mtu hana kosa. Kitanda hakizai haramu. Watoto wote ni mali ya mume mwenye mke hata kama ni jamaa kapanda. IKUMBUKWE KUWA MWENYE MKE ANAJUA HAYO YOTE. MKE ALITEGA NYAVU ZAKE ILI APATE MIMBA KUTUNZA HESHIMA YA MUME.Kwishney. Kama ni kule Lorya...umedowea mke nimekumezea, unauliza haki ya kuwachukua na watoto kwa mke niliyemuoa mm! NAFUNGUA BUCHA TU...NA HUYO JAMAA NDO ATAKUWA NYAMA.

Ndio maana mkuu The bosi kamnyooshea kidole huyo jamaa, kuwa ni mpumbafu. Mkuu the boss, yuko sahihi 100%.
 
Okay, kama jamaa ni mpumbavu, huyo mwanamke aliye mke wa mtu aitweje?

Au yeye hana kosa kabisa kwa sababu yeye ni mwanamke na ni mke wa mtu na hivyo mwenye kosa hapo ni huyo jamaa aliyezini (na kuzaa na mke wa mtu na si kumzalisha) na mke wa mtu?

wote same same....
 
Kitanda hakizai haramu.... hao ni watoto wake halali na wewe katafute wakwako, huwezi kumpa mwenzio wakati wewe huna, tena mara tatu huo ni utahila..
 
wana JF,

Kuna jirani yangu ambaye alikuwa anauhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu. Ameniambia kwamba mwanamama huyo ndiye aliye mshawishi wawili hao wawe wapenzi bila kujali mumewe (ndoa yake). Baada ya miezi 5 mwanamama huyo alipata ujauzito na alipojifungua mtoto alifanana kabisa na rafiki yangu. Mume wa mwanamke wala hakuhoji!!

Baada ya muda wapenzi hao waliendelea na kamchezo! Mama huyo akapata ujauzito tena na mtoto wa pili alifanana na huyu rafiki yangu! Huyu rafiki yangu yeye aliogopa na kuamua kuhama mji kwani alihofia usalama wake kwa mume wa yule mwanamama.

Alikaa mkoa wa jirani takribani miaka mi tano! Rafiki yangu huyo baada ya muda alirejea tena jijini Arusha na kukuta katika kipindi chote hicho yule mwanamama na mumewe hawajapata mtoto mwingine.

Yule mwanamama alianza tena tabia yake kwa kumhakikishia kwamba mumewe hana tatizo na hawezi jua kuhusu uhusiano wao! Punde yule mama akashika ujauzito! Alipojifungua mtoto wa tatu alifanana sana na huyu rafiki yangu.

Ndipo huyu rafiki yangu aliamua kufuatilia kwakaribu ili ajue undani zaidi na ndipo alipogungua kwamba mwanamama huyo na mumewe walikuwa wamepanga mchezo wote kwani jogoo la mumewe 'haliwiki'

Sasa wana JF, huyu kijana hajaoa lakini anauhakika wa 100% kwamba watoto wale watatu ni wake...

Je, anayohaki ya kuwadai watoto hao kuwa ni wa kwake?

Je, afanyeje ili aweze kutendewa haki?

Jamaa hana chake hapo yeye akubali kuolewa naamini mke Wa jamaa NAE ameoa hivo arusiwe kuwa na kijogoo chake baada ya kukuta fimbo ya musa imedoda.hili swala linatakiwa liwekwe kwenye katiba ili wanawake nao waoe haki sawa
 
Mkubwa Inawezekana jogoo akawa anawika na unamwaga mbegu lakini mbegu zikawa ni week.., haziwezi kurutubisha yai kwa kitaalamu wanaita oligospermia teh teh

Daktari aliniambia za kwangu ni year..nini possibility ya mimi kupata mtoto?
 
wana JF,Kuna jirani yangu ambaye alikuwa anauhusiano wa kimapenzi na mke wa mtu. Ameniambia kwamba mwanamama huyo ndiye aliye mshawishi wawili hao wawe wapenzi bila kujali mumewe (ndoa yake). Baada ya miezi 5 mwanamama huyo alipata ujauzito na alipojifungua mtoto alifanana kabisa na rafiki yangu. Mume wa mwanamke wala hakuhoji!!Baada ya muda wapenzi hao waliendelea na kamchezo! Mama huyo akapata ujauzito tena na mtoto wa pili alifanana na huyu rafiki yangu! Huyu rafiki yangu yeye aliogopa na kuamua kuhama mji kwani alihofia usalama wake kwa mume wa yule mwanamama.Alikaa mkoa wa jirani takribani miaka mi tano! Rafiki yangu huyo baada ya muda alirejea tena jijini Arusha na kukuta katika kipindi chote hicho yule mwanamama na mumewe hawajapata mtoto mwingine.Yule mwanamama alianza tena tabia yake kwa kumhakikishia kwamba mumewe hana tatizo na hawezi jua kuhusu uhusiano wao! Punde yule mama akashika ujauzito! Alipojifungua mtoto wa tatu alifanana sana na huyu rafiki yangu.Ndipo huyu rafiki yangu aliamua kufuatilia kwakaribu ili ajue undani zaidi na ndipo alipogungua kwamba mwanamama huyo na mumewe walikuwa wamepanga mchezo wote kwani jogoo la mumewe 'haliwiki'Sasa wana JF, huyu kijana hajaoa lakini anauhakika wa 100% kwamba watoto wale watatu ni wake...Je, anayohaki ya kuwadai watoto hao kuwa ni wa kwake?Je, afanyeje ili aweze kutendewa haki?
Nashawishika kuamini kuwa jamaa na mke wake walipanga mchezo mzima ila kimbembe kipo kwa jamaa akijaribu kudai watoto..kwanza atakuwa na case ya kutembea na mke wa mtu kwa makusudi.Pili huyu mwenye mke hasira zote za kutoweza kumpa mke wake mimba ukichanganya na aibu ya kudhalilika katika jamii vitamfanya afanye everything in his power kumlostisha jamaa yako..it is better jamaa akae kimya..you never know what kids will do once they grow up
 
Nimeguswa sana na suala hili
Sitaki kurudia yote ya wachangiaji wenzangu ila, kitendo cha kutembea na mke/mume wa mtu bila kinga kwa karne hii ni sawa na kujitupa baharini wakati hujui kuogelea. Sijui hata nimuite jina gani????

Ila cha msingi hapa; Kijana Anapaswa aende kwenye vitabu vya dini na vya sheria za nchi hii..aulizie Ndoa maana yake ni nini? Huwezi kudai watoto kwenye ndoa ya mtu. Faida yako hapo umekula uroda wa bureee bila kuutolea matumizi.
Mimi naku hurumia kwani sijui ni kabila gani unayepambana naye ila kama ni haya ya huku kwetu ukifanya mchezo...tutakubadilishia jina at no time.

kama unajipenda don't dare! Utajutia maisha yako yote kama utabahatika kuwa hai!!!

Umemshauri vema ...ukimtia mke wa mtu Mimba imekula kwako....
Ni Kama Kulima shamba la mtu udai mazao yako
 
Kama ni kweli hayo yalitokea umesema kuwa huo ulikuwa mpango uliosukwa kati ya mama na mr. Sasa unasema msela anataka kwenda kudai watoto wake. Hivi mtu mwenye akili zake awezaje kuwa na wazo ka hilo?
Alisikia ni shamba kuwa anakwenda kuvuna maharage yake alopanda humo? Miye namwita mpuuzi sana tu. Aoe wa kwake na aache familia ya watu waendelee na maisha yao. Kama ni mbegu zake, aoneshe mfano kwa huyo mkewe amzalishe kila wiki mara mbili tujue kweli ana mbegu. Si kutukana watu ati jogoo haliwiki. Huyo mama angekaa miaka 5 kimya?
Umesema ati ni Arusha; nasema Risasi zinamuhusu. Si uchochezi ndo ukweli wenyewe huo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom