Recent content by Okinyit

  1. Okinyit

    Jaji huyu achunguzwe haraka

    Kwa mjibu wa sheria ya Wanyamapori Na.5 ya 2009 kifungu cha 86(1) inakatazaa kumiliki, kuuza, kununua au kujihusisha kwa namna yoyote na nyara za serikali. Kifungu kidogo cha (2) cha fungu hilo la 86 kina vipengele (a) na (b) vinatoa maelekezo sahihi namna ya kutoa hukumu kwa anayevunja kifungu...
  2. Okinyit

    Msaada wa kisheria juu ya utoroshaji wa mwanafunzi

    Habari wana Jamii, Kwa heshima na taadhima naombeni msaada wa mawazo (Kisheria) katika hili. Mwishoni mwa mwezi wa tatu mdogo wangu anayesoma kidato cha nne alipotea nyumbani majira ya saa 2 usiku na hakuonekana hadi baada ya siku 3. Kabla hajaonekana wakati tupo kwenye pilika za kumtafuta...
  3. Okinyit

    Wiki ya kishindo cha JPM inaanza Desemba 7

    Hey guys let's be fair to our President, cause he knows all those he will be dealing with one after another. even if it's you would you have resolved all? Tumpe muda then after tutamuhukumu.
  4. Okinyit

    Tazama jua lilivyo surface yake kwa karibu

    Bro thanks for a new knowledge to me. keep on educating us.
Back
Top Bottom