Recent content by ojuelegba

  1. ojuelegba

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Dar, tunaomba urudishe kituo cha Mwenge kama stendi kuu

    Mi niliibiwa simu yangu ya samsung hapo mwenge mwaka 2006 iliniuma sana pumbafffff lofa
  2. ojuelegba

    JamiiForums Tanzania Wananchi Waanza Kugombania Kiti Alichokikalia Rais Magufuli Kwenye Mgahawa Jijini Mwanza

    Hapo sijaona cha ajabu mtoa maada kwa sababu raisi ni mtu marufu na ni kiongizi wa nnchi kuna holeti moja china jina nimelisahau David Beckham aliwahi kulala yani mpaka leo hicho chumba watu wanaweka booking kulala na gharama yake ni kubwa sana
  3. ojuelegba

    JamiiForums Tanzania Tabia nilizozishuhudia kwa baadhi ya wanaume wa Dar

    Wanaume wa dar wanakunywa sana maji!alafu wanapenda kula mlenda
  4. ojuelegba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Eti Baby Latifah sio wa Diamond

    Wanaume wa dar kazi kwelikweli:-!
  5. ojuelegba

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, Zari ndie kamuoa Diamond...

    Mleta uzi we ni popoma kweli kazi kufuatilia maisha ya watu huna kazi ya kufanya afu dnd ndo nini?
  6. ojuelegba

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa kuhara (Diarrhea): Tambua Chanzo chake na Matibabu

    Ulimpeleka mzee hospital gani isije ikawa umeenda dispensary ukasema hospitali wameshindwa kwa ushauri wangu mpeleke referral hospitals akaonwe na physician's hapo kuna vipimo kibao anatakiwa afanyiwe
  7. ojuelegba

    JamiiForums Tanzania Mimi ndiye niliyeanzisha msemo wa jipu kabla ya Rais Magufuli

    Still thinking:-!user name yako na avatar vinaendana na jipu
  8. ojuelegba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vituko vya binti wa mama mwenye nyumba

    Kwi kwi kwi kwi=-O
  9. ojuelegba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single parents wanazidi kushamiri, kwanini?

    Nawependa sana ma single mom mtoto wake akikupenda tu ni rahisi kula mzigo;-)
  10. ojuelegba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hakika jana ingekuwa ni siku ya kuandikwa kwa historia mbaya sana juu yangu

    Aisee nakushauri usirudie tena yani tena mke wa mtu
Back
Top Bottom