Tangu kituo cha Mwenge kifungwe na kuhamia Makumbusho wananchi wengi sana wanateseka kwa kutembea juani hadi wafike Mwenge, nimeshuhudia jana idadi kubwa ya watu wakishuka Bamaga wakitembea hadi Mwenge ili kusave nauli zao kwani sahivi safari moja lazima upande bus zaidi ya moja.
Hii inauma sana kwani pale Makumbusho ni kama njiani tu sio final destination terminal pia kituo ni kibovu sana barabara zake hazipitiki vumbi ni kali na pia kuna vibaka wengi sana wa Mwananyamala in short hapapo safe and not healthy.
Kwa hiyo tunakuomba mkuu wa mkoa wa Dsm utusaidie kwenye hilo for the sake of your people.