Recent content by OGOPASANA

  1. OGOPASANA

    Anataka nimuoe na mtoto wake

    haswaaaaa!!!
  2. OGOPASANA

    Maneno ya kejeli ya mume wangu

    'KHERI KUWA NA PENGO KULIKO KUWA NA JINO BOVU'.. Fanya maamuzi magumu for your own sake!
  3. OGOPASANA

    Sababu kuu ya kuwepo cheti cha ndoa ni kutoaminiana

    Cheti cha kuzaliwa mtu anapewa cha nini? Cheti cha kuhitimu elimu au kozi flani hutolewa vya nini? Vyeti vyote hutolewa kwa sababu ya kuthibitisha na uthibitisho huo huwekwa kimaandishi kwa ajili kumbukumbu ya mda mrefu hata kama hao walioshuhudia hawatakuwepo au kutoa taarifa tofauti (kazi ya...
  4. OGOPASANA

    Je, Kuna ulazima mke kumpa mme maji ya kuoga?

    Kama ndo utaratibu wa maisha waliyojiwekea ama kawaida yao ama kutokana na mila na destuli zao ni sawa wala lisikushangaze!
  5. OGOPASANA

    Nilikuwa nasikia tu kwa wengine, leo yamenikuta

    Hii MMU ya siku hizi balaah.. Duuh!
  6. OGOPASANA

    Napoteza ndoa yangu, kisa nimemwambia nilishawahi kutoa mimba kabla ya kuwa nae

    Kwanini unajistukia kwa kusema 'ni kisa cha kweli nipeni ushauri' !!! Sielewi unataka ushauri wa nini!! Kutoenda kwa mganga? Huyo mumeo atachukiaje na kuona amekosewa kwa wewe kutoa mimba kabla ya uhusiano wenu?
  7. OGOPASANA

    Mapenzi kizunguzungu

    Mkuu Donatila haya pita humu afu useme mwenyewe!!
  8. OGOPASANA

    Mapenzi kizunguzungu

    Mkuu Donatila haya pita humu!!
  9. OGOPASANA

    Ameamua kuni unfriend mpaka kwenye fecebook

    nini kilisababisha hadi kuhitilafiana mkawa mbalimbali?
  10. OGOPASANA

    Nimekuomba twende outing, unachagua Kempisk hivi una nia na mimi kweli?

    Pole ndugu! Ulipaswa kumpa limitation ulipompa option ya kuchagua kiwanja coz you are financially limited! Next time pozi zuri ni wewe kuchagua kiwanja kulingana na uwezo wako. Pia kama umeoa si vyema kukutana na michepuko yako sehemu za wazi coz kunaweza kukawa na anayekujua akamtonya wife, ndo...
  11. OGOPASANA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Akili unaweza ukawa nayo afu ukashindwa kuitumia! Watu wanafisidi hadi ndoa zao!
  12. OGOPASANA

    Rafiki kuwa adui au adui kuwa rafiki, Heri ya nani?

    ''Baya lisilokudhuru ni jema lisilo na faida''
  13. OGOPASANA

    Ameamua kuni unfriend mpaka kwenye fecebook

    Nini kilitokea hadi mkahitilafiana na kila mtu kukaa mbali mbali? Pengine bado ana kumbu kumbu na hili suala!! Naamini bado anakupenda sana na ndo maana anakukwepa na kukufanyia hivyo ili na wewe uumie. Kumpata ni rahisi sana!
  14. OGOPASANA

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Kufisidi mali ya umma si jambo jema kwa mtu aliye mzalendo na nchi yake! Hata maanadiko yanakataza.
Back
Top Bottom