Recent content by OG12

  1. O

    JamiiForums Tanzania 20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

    Hizo cement mifuko 70 ni pamoja na plaster??
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Hivi unajua ratio ya 1:5 ni sawa na ndoo ndogo 20 kwa mfuko, ambapo ni ndoo 60 kwa mifuko 3 ya cement. So unaona hapo ratio ya huyu fundi ipo ni kama 1:42
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Kuna fundi ananiambia ndoo za 10ltrs 50 kwa mifuko 3 ya cement
  4. O

    JamiiForums Tanzania Messi Avunja Rekodi Iliyodumu kwa Miaka 60

    Imeongezeka mechi 1 tu ya round of 32, michuano iliyopita ilikuwa ukitoka group stage unaingia round of 16
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    Ratio Kali(standard plastering) ikoje ndugu?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    je inatakiwa nguzo kwa kila Kona ya mnara wa tank la maji, ili kupata pressure nzuri ya maji je mnara unapaswa kuwa na urefu gani?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    chini nahitaji kuweka public toilet na laundry room(sio lazma iwe na washing machine) Itapendeza ikijumlisha na gharama ya mfumo wa awali wa maji
  8. O

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    ardhi ni kichanga ndugu, ila nyumba ni kozi 11 lenta then kozi 3 za juu, kingpost ni 5.6m... so hapo unaweza kukadiria urefu gani utafaa
  9. O

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    nahitaji approximation ya gharama za materials yatakayoitajika na gharama ya ufundi ndugu
  10. O

    JamiiForums Tanzania Unahitaji ushauri juu ya masuala ya ujenzi na gharama zake? Karibu tukuhudumie

    mkuu nahitaji kujenga mnara wa tank lenye ujazo wa Lita 3000, ila chini nipate small laundry room na choo cha nje. Naomba msaada nisije nkakosea uzito wa tank likiwa na maji likaangusha Kuta?
  11. O

    JamiiForums Tanzania Ramani, makadirio, Elimu na ushauri kuhusu Ujenzi

    mkuu nahitaji kujenga mnara wa tank lenye ujazo wa Lita 3000, ila chini nipate small laundry room na choo cha nje. Naomba msaada nisije nkakosea uzito wa tank likiwa na maji likaangusha Kuta?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    Bado hujafika 500k
  13. O

    JamiiForums Tanzania Yanga wanatumia janja ya kususia derby ili msimu ujao washiriki Kombe la Shirikisho la CAF

    Hata Yanga akisusia mechi na akakatwa point 15 kikanuni bado atamaliza nafasi ya pili, na hili uongozi unalitambua vizuri tu NB: Yanga wako tayari mpewe kombe ila hawachezi
  14. O

    JamiiForums Tanzania Edo Kumwembe amshika pabaya Injinia Hersi kuhusu udhamini, badala ya kujibu hoja anamsifia Oscar Oscar

    Ebu kaitazame jezi ya Namungo afu urudi tena
  15. O

    JamiiForums Tanzania Grinder mashine na welding machine vinauzwa

    Ukifika 500k PM yangu iko wazi kwa ajili ya biashara
Back
Top Bottom