Naomba mnisaidie nini maana ya;
1. TASAF
2. Nini Malengo ya TASAF kwa Watanzania
3. Walengwa haswa wa TASAF wenyewe ni wapi?
4. Na kama walengwa ni watu wasiojiweza,Kwanini Wamo hadi watu wenye mishahara na walioajiliwa?
5. Au hata mtu akijisikia tu yeyote anaenda kujiunga na TASAF? Nimeuliza...
Vita dhidi ya dawa za kulevya si vita ya Makonda peke yake wala isiwe ya Mkoa wa Dar pekee,kwani inatakiwa iwe vita ya kitaifa ambapo itahusisha viongozi wa ngazi zote na hata wizara zote husika .
Ambapo wizara ya Afya na wizara ya mambo ya ndani ziwe mstari wa mbele katika kampeni hii ya...
Kati ya asilimia 100% ya wanawake nilifanya nao mapenzi,asilimia 80%wana matatizo ya kutoa harufu mbaya mara tu baada ya kusex. Na asilimia 20% tu ndiyo wao hawatoi harufu hiyo.
Je wana matatizo gani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.