off all
Member
- Dec 22, 2016
- 7
- 3
Naomba mnisaidie nini maana ya;
1. TASAF
2. Nini Malengo ya TASAF kwa Watanzania
3. Walengwa haswa wa TASAF wenyewe ni wapi?
4. Na kama walengwa ni watu wasiojiweza,Kwanini Wamo hadi watu wenye mishahara na walioajiliwa?
5. Au hata mtu akijisikia tu yeyote anaenda kujiunga na TASAF? Nimeuliza hivyo kwa sababu niliona sehemu moja mtu huwa anaenda kuchukua hela za TASAF na wakati huo analipwa Laki moja(100,000) sehemu anakofanyia kazi za kufanya usafi wa ndani (yaani kwenye nyumba ya kulala wageni,)
Naomba kuwasilisha wadau.