Recent content by oel200e

  1. oel200e

    Gambo, Siyantemi washauri utafiti ufanyike kuona uwezekano wa kutumia damu ya wanyama kwa binadamu

    Kumradhi JF ila nimecheka sana baada Ya Kusoma huu Uzi. Kwa wasomi wowote wale wenye ufahamu na research na madawa na Elimu Ya nje wataelewa tu kwamba hii ni STORI. Vitu vingine Jamani tuwaachie nchi zilizoendelea kiteknolojia kufanya haya hapa sana sana watu wanatafuta kupiga Hela za research...
  2. oel200e

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Yupo mwingine hapa anasema miaka ya 1800 ulikua ni dark ages, kipindi ambacho wazungu walikua wanakimbilia milimani wanamuogopa papa..... Wakati huo huo Hawa Wazungu miaka Hiyo tayari wameshafika Afrika, USA tayar imeshapata uhuru miaka 100 iliyopita, waarabu tayari wameshafika Tanzania...
  3. oel200e

    Msaada wa Imani

    Give the the scripture were he said that..facts
  4. oel200e

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Umetoa fact zipi hapa? Yaani watu kama wewe wanasikitisha sana. Sikiliza sikulazimishi wewe kuikana Dini au dhehebu lakini rafiki jaribu kupata Elimu Ya ziada kuhusu Dini yako na dhehebu. Huoni aibu unaposema 1800 ni Dark ages???..kweli?????..huu ni ujinga wa hali Ya Juu kabisa!
  5. oel200e

    Msaada wa Imani

    John 5:16-18 So, because Jesus was doing these things on the Sabbath, the Jewish leaders began to persecute him. In his defense Jesus said to them, “My Father is always at his work to this very day, and I too am working.” For this reason they tried all the more to kill him; not only was he...
  6. oel200e

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Rudi SHULE uache ujinga. 1800 sio kipindi cha Dark Ages. Na kipindi cha Dark Ages ndio kipindi ambacho watu walikua wanamtafuta sana mungu huko ulaya, kwa sababu ni kipindi ambacho watu waliumwa sana magonjwa na kulikua sana na vita ktk kugombea maeneo.Kuna vitabu na vitabu vinavyoelezea hivyo...
  7. oel200e

    Kanisa la Rumi (Roman Catholic) Lilianzisha Uislam ili kuendelelea kuitawala na kuihadaa Dunia

    Inasikitisha kuona level Hizi za ujinga hasa katika karne hii Ya teknolojia....Huyu jamaa hana fact hata 1..anaelezea hekaya tu hapa, kwa nini wasema kanisa katoliki huwa hamleti FACTS???? Acha kudanganya watu, kila msomi wa historia anatambua vita vya karne za mwanzo za kusambaa kwa...
  8. oel200e

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Nimejaribu kuchunguza kwa wiki hii tu, kuna mada za kuponda kanisa katoliki nyingi tu nikajiuliza kwa nini.... Baadae nikaona picha za misa za mheshimiwa ambae ameonekana anahudhuria vizuri sana kanisani kila anapoenda. Nikapata jibu ni kwamba watu wameacha kumsema kisiasa, sasa wanahamia...
  9. oel200e

    Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

    Huo ni uongo mkuu sana tena wa mchana kweupe. Hakuna michoro Ya zamani ambayo inaonesha Yesu alikua mweusi. Michoro Ya zamani, kama ule wa last supper wa Da Vinci wa karne Ya 16 ilikua inachorwa kama kazi Ya kuajiriwa kwa artists wenye kaliba kubwa sana. Mfano, michoro mingi Ya kanisa la...
  10. oel200e

    PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

    Nafikiri tatizo sio kwamba watu hawajui kama kuna PhD za heshima, wala uhalali Watu wanachohoji ni kama kuna haja Ya Mtu kutunukiwa PhD kwa sababu za hatua za kisiasa au kuleta heshima au kwa kuonyesha Shukrani kwa sababu tu mtu amefanya kazi anayotakiwa kufanya kisheria ila imetokea kaifanya...
  11. oel200e

    PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

    Yaani Watu kama Wewe ndio wanaofanya Afrika iendelee kua masikini.
  12. oel200e

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Huyo Yohana unayemsema yeye pia anamthibitisha Yesu ni Kristo na tena ni Mungu mwana
  13. oel200e

    Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

    Tuma uthibitisho wa usemi wako sio porojo... Unazungumzia kuwa unbiased at the same time fikra zako hazijakaa kujifunza zaidi Ya kutaka kusikilizwa bila fact..maongezi yako yote yamejaa kwenye "kofia" hata unasahau Kwamba kanisa hilo hilo la mashetani ndio limezaa dhana Ya kanisa na dini Ya...
  14. oel200e

    Pc inachukua mda mrefu ku-install windows

    Pc yako Ya aina gani?...angalia usije Ikawa una-install windows version ambayo sio compactible na pc yako. (Os version, bits type na os version type Mfano windows 7 kuna 64 bits, then pro, home basic, premium na kadhalika) Kama utatumia bootable USB, download Rufus, then format kwa kutumia...
  15. oel200e

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nipo zangu na full series white collar...baada Ya mahangaiko ya wiki nzima nimekosa usingizi kwa mawazo na changamoto mbalimbali...
Back
Top Bottom