Recent content by Odhiambo cairo

  1. Odhiambo cairo

    Picha: John Mnyika, Rugemeleza Nshala Wakiwa Umoja wa Mataifa na Onanga-Anyanga Mwakilishi Maalum

    Hivi kweli unawasha VPN kuja kuzodoa watu humu ?!. Ccm imefuga misukule isiyojielewa. Serikali inayokulazimisha kutafuta VPN ili upost humu X.
  2. Odhiambo cairo

    Orodha ya Waamuzi wa Afrika watakaochezesha mechi za FIFA World Cup 2026

    Lugha tatizo la waTanganyika. Kiswahili ni lugha ya kienyeji sana. Waamuzi wetu na wananchi kwa ujumla lugha ya mawasiliano kimataifa hatuwezi.
  3. Odhiambo cairo

    Maandamano ya Amani (Kinondoni Muslim hadi ubalozi wao Msasani) kupinga uvamizi nchini Iran

    Lisu tena ?! , Maelfu ya waTanganyika wameuliwa hapa. Mkaleta upumbavu Ukinga wa dini hizi za majahazi.
  4. Odhiambo cairo

    Thinking Aloud Kwa Maslahi ya Taifa: Ikitokea Umeitwa Mbele ya Tume ya Jaji Chande, Je Utatoa Ushirikiano?, Na Ukifika Mbele ya Tume, Utoe Hoja Gani?

    Kwamba waendelee kung'ang'ania hata kama hakikubaliki ?!. Sasa hapo utaepuka vipi vurugu tena !!. Ushauri wa kijinga
  5. Odhiambo cairo

    Brenda Rupia: CHADEMA hatuitambui Tume. Haiwezekani Mwenyekiti wa CCM awe kiongozi alafu aliowachagua watoe msimamo tofauti na alioutarajia

    Sasa anachunguza nini kama siyo kuwafanya waTanganyika wapumbavu. Au tu ni kutumia pesa za uuma bure kuhalalisha mauaji!
  6. Odhiambo cairo

    Nafasi kubwa za uongozi wa nchi haifai kuwapa vijana wa miaka 30 mpk 45

    Ni akili za mtu na moyo wa ulafi. Iwe mtu binafsi au kikundi cha watu. Mfano ni Ccm hawako tayari kushindwa hata uenyekiti wa kijiji. Wataua kuhakikisha wanabaki so, siyo swala la umri. Akina nyerere na timu yake, wengi walikuwa kwenye umri huo. Ilipofikia kung'atuka waling'atuka na hatukuona...
  7. Odhiambo cairo

    Ilikuwa kosa kubwa Mwl. Nyerere kuzingatia siasa za kikanda Tanganyika bila kuzifungamanisha na uchumi na bado nchi ikiwa changa

    We naye huna akili. Watu wanaongelea hoja nyingine, we unawashwa na Cdm !!
  8. Odhiambo cairo

    Bashite kufunga namba za Serikali kwenye magari binafsi, hii imekaaje?

    Bi mkubwa kesha waambia mkimkera sana. "ATAWABWATUKIA". So hapo mwanaye anaonyesha namna ya matumizi Tanganyika.
  9. Odhiambo cairo

    Magereza: Hakuna upendeleo katika huduma ya chakula kwa wafungwa na mahabusu

    Mtu usimame kizumbani asubuhi mpaka saa 7. Kisha uendelee saa nane kusimama kizimbani. Huku unahojiwa na wanasheria na majaji. Akili zitafanya kazi ?! Miguu itafanya kazi !!. Mshtakiwa kasema magereza wamezuia fedha zake. Kwanini wasizitumie kumlisha kama wao wanaona hasara ?! Halafu hayo...
  10. Odhiambo cairo

    Wanaume tunzeni akiba ya kustaafu, hao watu tunaosotea sio wenzetu

    Ukweli tu ni kwamba wanaume tujiandae zaidi na kipindi chetu cha kustaafu. Ni rahisi mzazi wa kike (mke) kukimbilia kwa watoto kwenda kulelewa, lakini si kwa mzazi wa kiume. Watoto mara nyingi hu side na mama zao kuliko baba zao. Na hii ni natural. Wazee tujiwekee akiba hasa za mali...
  11. Odhiambo cairo

    Kamisheni ya Utalii Zanzibar: Nguo fupi marufuku kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Morocco, Uturuki, Tunisia na nchi nyingi za kiislamu hawana ujinga huu wa kulazimisha watu kufuata masharti ya mashehe wachache. Imani ni ya mtu binafsi na kwenda pepo ni kwa mtu binafsi siyo jamii nzima. Mavazi na vingine havimpereki mtu peponi. Bali Imani na matendo yako. Acheni watu...
  12. Odhiambo cairo

    Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Mahakama za kutoa haki hiyo iko wapi Mshana Jr:
  13. Odhiambo cairo

    Viongozi wa CHADEMA waliokuwa mahabusu waachiwa huru, DPP hana nia ya kuendelea na kesi

    Hivi kwanini Dpp amekuwa na kinga ya kutokushtakiwa ?!. Unateseka kwa miezi mahabusu. Halafu anakuja siku moja Dpp kuwa hana nia ya kuendelea na kesi !! Ujinga wa kisheria za mtego.
  14. Odhiambo cairo

    Inakuwaje mifumo na mihimili yote ya nchi Ile na wosomi wakubwa ndani yake kuwa paralyzed kumtetea mtu mmoja ambaye hata ridhaa ya wananchi Hana ??

    Mifumo imeharibiwa makusudi na lile kundi la "WAHUNI" tuliloambiwa na katibu mwenezi wao. Kwa hilo kundi ni kusifu na kuabudu viongozi na chama tawala. Ili malengo yao ya ufisadi ufanikiwe.
Back
Top Bottom