Recent content by Octavina

  1. O

    Umewahi Kukaa sehemu ukawa Unapiga Story na Mungu? Fanya hivyo kwa njia hii.

    Naamini ni kweli, mimi siyo mlokole lakini siku moja nakumbuka ilikuwa ijumaa kuu nilikuwa naumwa tumbo sana basi nikatoka kitandani nikaenda sebuleni, pale sebuleni kulikuwa na msalaba nikasogea nikamwambia Yesu wangu naumwa nataka kwenda kanisani sasa ntaendaje na haya maumivu?? Basi pale pale...
  2. O

    WHO yatoa list ya miji michafu zaidi Afrika, upo mmoja wa Tanzania

    Ni kweli kabisa Mkoa wa Morogoro uliongoza kwa kuwa na wagonjwa wengi wa kipindupindu. Nakubaliana na WHO
  3. O

    Msaada: Kujiunga rasmi na CCM

    Hicho siyo kinachoimaliza ccm bali ndicho kinachoimaliza chadema. Tindu Lissu alikuwa against Lowassa tena alikuwa mstari wa mbele kumuita fisadi mkubwa but what next akapewa nafasi ya kugombea Uraisi bila hata kufuta kauli zake. Hao hao walimuita nape kibaraka na majina mengi but now anaitwa hero
  4. O

    Msaada: Kujiunga rasmi na CCM

    Bora uwe mwanachama wa CCM kuliko kuwa chama cha wenye vurugu. Hata wakisimama majukwaani sera zao ni za chuki chuki tu. Na hapo ndipo ccm wanapowapiga gap. Ukiona kiongozi mkubwa a anajiuzulu kipindi hiki cha baba Magu alikuwa mpiga deal Acheni waondoke wengine watajiunga na chama
  5. O

    Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

    Mm ninachompendea our beloved President haogopi chochote.
  6. O

    Safari ya Uarabuni ya mfanyakazi wa ndani

    Ndugu zetu wanauawa huko uarabuni jamani baadhi ya watanzania wana damu za ubishi tena
  7. O

    Pesa zilizoachwa kwenye mifuko ya hifadhi na watumishi wenye vyeti feki ungependa zitumike kufanya?

    Tena ilitakiwe wafungwe hata miaka miwili kwa makosa yakuibia serikali na wananchi wenye vyeti
  8. O

    Pesa zilizoachwa kwenye mifuko ya hifadhi na watumishi wenye vyeti feki ungependa zitumike kufanya?

    Nyie mnaowatetea waliofoji vyeti hamna maana kabisa. Unakuta MTU mmemaliza nae sec kafeli but mtu umekomaa na kusoma then after 1 year unakutana nae maisha mazur na vicheko juu wewe bado tu unahangaika na vitabu et nimuonee huruma??? Hapana aisee atumbuliwe tu na asipate chochote
Back
Top Bottom