Recent content by OCTAVIAN

  1. O

    Wazungu wasitupangie vipindi vya marais wa Afrika kukaa madarakani

    Kila mwezi uko na bakuli milangoni kwao kwann wasikupangie muda ili wakupumzike waje wengine labda watakuja na fikra mbadala.
  2. O

    GE2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

    Umenikumbusha mbali Sana. Wengine walikuwa wanang'oa na magoli. Ahaahaa!
  3. O

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Roho ya marehemu ipate Rehema kwa Mungu. Apumzike kwa Amani. Amina.
  4. O

    Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

    heshima kitu cha bure.
  5. O

    TANZIA Askofu Mstaafu wa Jimbo la Njombe, Raymond Mwanyika afariki dunia

    Raha ya Milele Umpe Ee Bwana na Mwanga wa Milele Umwangazie, Astarehe kwa Amani. Amina
  6. O

    Ushauri please:housegal wangu ananitisha!!!

    Inaonyesha kama anakuzidi nguvu kwa ushawishi wake wa kulia na kutia simanzi. Lakini kimsingi hizo tabia anazozionesha si za kawaida na wala usingeomba hata ushauri huyo ni wa kufanya kumfukuza, ukishindwa si umwambie mumeo, kama wote mna huruma msiyoijua imetokea wapi ya kukubali kukaa na...
  7. O

    Ufoo saro aanika kila kitu juu ya sakata lake

    Busara inamtaka yeye na wenye nia ya kutaka kujua ukweli kuvuta subira, kwasasa atakuwa anaongea mambo ya ajabu na yatakayo leta utata mbele ya safari. Afunge mdomo wake na waandishi waache kumsaili mambo hayo kwa sasa.
  8. O

    Majangili yaua 10, askari waua raia 2, Hali ni tete mpakani na Msumbiji

    Huyu yuko karibu na mlima Makolionga wanakofanya mmazoezi wale wenye CD za hatari.
  9. O

    CCM yatoa miezi 6 kwa waziri wa Elimu kujiuzulu....Vinginevyo itamtimua kwa nguvu

    Miezi sita.....Hawako makini na maisha ya watu. Miezi sita ni mingi mno kwa madai yaliyochukua miaka na miaka. Na mbaya zaidi ni porojo tu. Inauma sana wanataka kuanza kutumia maisha magumu ya waalimu kama kete ya kutafutwa kupendwa. Inauma sana.
  10. O

    Masogange na Melisa kuachiwa huru!!!!!!

    Niliposikia tu kuwa polisi wa Tz wanaelekea huko SA kwenda kufanya nn sijui, nikajua jamaa wanataka ku-lidoctor sakata hili kwa maslahi ya watu wakubwa,na hakuna cha maana kitakachofanyika ktk kesi hii. Kwann waliingilia mapema na kwa haraka hivyo.
  11. O

    Dodoma kuwa jiji

    Mmm itakuwa ngumu sana !
  12. O

    Askofu KKKT: Hivi ndivyo wapinzani walivyosababisha vurugu bungeni

    Namuweka kapu moja na mzee wa Kiraracha "kujikomba" kwa CCM.
  13. O

    Ni kichefuchefu na inakasirisha!.

    Kichefuchefu na hasira zaidi, dawa za kufubaza virusi vya ukimwi kuchakachuliwa, uchunguzi sijui umeishia wapi, waliotuhumiwa wapo, wanapeta tu mitaani, wagonjwa wameathirika zaidi, sioni juhudi za kuwapigania, wamejificha wapi hawa,ni kama kesi iliyokufa kifo cha kawaida, maisha yanasonga mbele...
Back
Top Bottom