Recent content by octanet

  1. O

    JamiiForums Tanzania Movie zilizowahi kutikisa kwenye ulimwengu wa movie

    Delta force Missing in Action I can't leave without my daughter War bus The hard way
  2. O

    JamiiForums Tanzania Wahanga wa kuzimu/jehanam

    [emoji54] [emoji54] [emoji54] [emoji54] [emoji54]
  3. O

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Nilikuwa naogopa nilianza kuona vitu vya tofauti pia watu walikuwa wananiogopa ingawa walikuwa hajui kama nawatambua kuwa naona vitu vya tofauti ndio nikahisi nimekuwa mchawi.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Nilikuwa naifanya zamani around 1995 mpaka 1998 ila baadae nikaona inakuwa kama uchawi flani maana nilikuwa tofauti sana.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya picha katika ulimwengu wa kiroho

    Mshana uko vizuri sana kwenye psychology na Buddhism philosophy. Vipi kuhusu meditation ya mshumaa inayofanywa usiku saa sita au saa tisa.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Anayemjua nabii Yusuph wa Morogoro, naomba anipe taarifa zake

    Kwa mnaotaka kujua hakuna miujiza , bali kuna mahubiri yenye mafundisho yaliyomo kwenye biblia. Ibada zetu ziko jumanne , Alhamis , jumamosi na jumapili muda ni saa kumi jioni. Namna ya kufika ukiwa msamvu stand kuu panda daradara za mjini , ukifika mjini shuka panda gari za Bigwa shuka kituo...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Anayemjua nabii Yusuph wa Morogoro, naomba anipe taarifa zake

    Nipm nikupe taarifa zake yuko tofauti na wengine serious
  8. O

    JamiiForums Tanzania Zijue kozi zinazoongoza kwa ugumu chuo kikuu

    Course ngumu moja tu kuishi katika ndoa
  9. O

    JamiiForums Tanzania Post a word starting with the last letter of the previous word

    Nice night
  10. O

    JamiiForums Tanzania Post a word starting with the last letter of the previous word

    Antelope
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kuna moja ya mjini inaitwa my love from another star ina story ya ajabu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kweli Dae Jo Yong episodes 134 ila nzuri sana kuna nyingine ya kijijini inaitwa Kim So Roo
  13. O

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Dae Jo Yong hii ni nzuri sana ya kijijini ina story nzuri
  14. O

    JamiiForums Tanzania Namba gani imekosekana hapa?

    Imekosekana 3
  15. O

    JamiiForums Tanzania Hivi huu mchezo bado upo?

    Ukuti ukuti wa mnazi wa mnazi ukiingia upepo watetema
Back
Top Bottom