Wewe unaandika vitu gani? Watu wamekufa wakiwa wamelala usingizi, tuache mambo hayo. Tumuogope Mwenye ez Mungu. Tumuombee huko aendako kwani hakuna anaejua siku wala saa
Pole! wewe ndio hujui Kiingereza, tunaojua tumemuelewa anamaanisha nini, wala hajakosea! Ndio matatizo ya kujifunza kiingereza kupitia dictionary pekee...!
Kuwa na afya, kuumwa na kufa yote ni ya Mwenye ez mungu, haifai na ni dhambi kubwa sana kumsema vibaya marehemu na hata mgonjwa. Hakuna anayeijua kesho yake. Hao wote tunaosema eti wagonjwa leo jana walikuwa na afya njema kabisa. Waliokufa leo, jana walikuwa wazima. Tofauti zetu za itikadi za...
Hii haiwezi kutoa matokeo sahihi kuna watu watakesha kumpigia mgombea wao kura sababu hata ukipiga mara 10,000 haimati. Hata ID feki za kumwaga zitatengenezwa..
Lowassa anaendelea na kampeni mikoani, alichokifanya Mbatia ni kuita waandishi wa habari kutoa ufafanuzi wa mambo kadhaa. UKAWA wana utaratibu wao wa kuendesha mambo yao. Usikariri...
Kama anaumwa, madaktari wake ndio wanaweza kutoa kauli ya mwisho ila sio wewe. We hujui zaidi ya kuleta ushabiki kwenye masuala ya ugonjwa. Angalia usimshabikie mwenzio kuwa anaumwa wakati kumbe wewe ndio uko mahututi, hujijui tu.
Swala la uzima na ugonjwa ni la mungu, usimseme mwenzio ati ni mgonjwa wakati hata wewe mwenyewe hujapima afya yako. Wengine wliwahi kuanguka majukwaani wakati wa kampeni lakini wameweza kutumikia Urais kwa miaka 10...!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.