Ukame wa wana CCM kuhamia CHADEMA, je Lowassa amefilisika au ameuziwa mbuzi kwenye gunia?

Hot Lady

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
1,035
638
Wakati Lowasa anahamia CHADEMA, alienda kwa tambo nyingi huku akiwaahidi viongozi wa CHADEMA kuwa kuna mafuriko ya wana CCM kuhama chama chao na kujiunga na CHADEMA.

Hata hivyo, mpaka sasa, ni takriban wiki tatu sasa tangu mwanasiasa huyo ahamie CHADEMA na hakuna dalili za yale mafuriko aliyoahidi wakati anajiunga na CHADEMA. Mpaka sasa ni wenyeviti wawili tu wa mikoa wa CCM waliojiunga na Lowasa ilhali aliahidi kuwa zaidi ya nusu ya wenyeviti wa mikoa na wilaya watatangaza kujiunga na CHADEMA. Pia alitangaza kuwa kuna wakuu wa mikoa na wilaya watajiunga na CHADEMA ambapo mpaka sasa, hakuna mkuu wa Mkoa wala wilaya aliyejiunga na CHADEMA.

Pia, hakuna mbunge aliyepitishwa na CCM ambaye ametangaza kujiunga na CHADEMA. Waliojiunga na chama hicho ni wale waliokatwa kwenye kura za maoni kutokana na kushindwa kutimiza matarajio ya wananchi kwenye majimbo yao.

Kwa upande wa wanachama wa kawaida, hapa ndipo hofu ya Lowasa ilipo. Mpaka sasa hakuna lile wimbi la wanachama wa CCM kwenda CHADEMA, baadhi waliokuwa na hasira kutokana na watu wao kukatwa hali imetulia baada ya kuujua ukweli.

Swali la kujiuliza, je Lowasa ameshindwa kufikia dau la kuweza kuwanunua wana CCM zaidi au ameuziwa mbuzi kwenye gunia?
 
Ngoja ukawa wajibu lakini :lock1::lock1::lock1: ni tishio1
 
Are you alive?
 
Mmh hzi akili nyingine hzi vp umeshapata kifungua kinywa lakn?
 
Yote ni sahihi. Lowasa hana fedha za kuwalipa wana CCM wengi. Aliowanunua ni wale tu ambao aliwapa ulaji akiwa CCM. Mtu kama Makongoro Mahanga, Mgana Maindai na Hamisi Mgeja ni watu waliokuwa wanapigana kufa na kupona ili fisadi Lowasa awe mgombea wa CCM. Hawakuwa na namna bali kumfuata Lowasa. View attachment 278432
 
Swali la kujiuliza, je Lowasa ameshindwa kufikia dau la kuweza kuwanunua wana CCM zaidi au ameuziwa mbuzi kwenye gunia?

Najaribu kuuwaza uwezo wako wa kudadavua mambo nagundua hapo ndo ukomo wako ulipoishia.

Nchi inahitaji mabadiliko ambayo Sisiemu hawako tayari kuyafanya, SISIEMU wamekuwa na hii dola kwa miongo kadhaa sasa ila mabadikiko ni ya familia tawala tu.

Kwa dharau na matusi sasa majimbo mmeanza kuwarithisha wake zenu au watoto wenu ili muendelee kuhodhi nchi yetu.

Hao uliotarajia waondoke na EL kuwa wapinzani wamebaki SISIEMU kwa mikakati maalumu wa kuiangusha SISIEMU.

WAIT AND SEE WHATS COMING

Mabadiliko ni lazima na huu ni wakati muafaka wa kuyafanya.
 
Wale wanachama zaidi ya 600 Tanga waliochoma kadi za CCM na kujiunga na CHADEMA kwa mtazamo wako ni wengi au wachache?
 
Unajua jumla ya kura za wana-Ukawa hadi sasa? ukijumlisha na ambazo Lowasa kaja nazo Ukawa?

Jumla hadi sasa Ukawa wana uhakika wa kupata kura za Urais Milioni 15.6. bado za wale waliobaki CCM wanaomuunga mkono Lowasa na watampigia kura. Yaaan mwaka huu mnalo
 
Back
Top Bottom