Recent content by Ochugu

  1. O

    JamiiForums Tanzania Katu sitakula makombo hata yawe ya Biriani

    Amesha tambua kosa lake, mimi nakushauri umsamehe kwa mwanamke hawezi kwenda chuo akakosa mpnz hata kama amemuacha mume Nyumban,
  2. O

    JamiiForums Tanzania Bajaj za MO ni kizaazaa

    Mifano yako pia ni dhaif mkuu.
  3. O

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

    Asante kwa ushauri wako mkuu.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

    Mimi ni Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni diploma ya IT. Baada ya kuona soko la ajira limekua ni gumu ninawaza kujiari kwa mtaji wa 3m. Kwa wenye uzoefu na biashara ni aina gani ya biashara inaweza kunitoa kimaisha. Ingawa kuna wakati huwa Nawaza kuhonga pesa ili...
  5. O

    JamiiForums Tanzania NACTE imevishusha hadhi Vyuo 16 nchini na Vitatu vimefutiwa usajili

    Wapendwa chuo changu nilichosoma kimefutiwa usajili, mimi nimehitimu mwaka jana naweza kuendelea na maombi ya Elimu ya juu au kwa waliomaliza haiwahusu?
  6. O

    JamiiForums Tanzania Hivi mke wako wa zamani akidhalilika inakuhusu pia? Tuzo za Kili mdada makalio yako nje aibu tupu

    Vazi liko hivyo ila hapo nyuma pamevutwa na Photoshop
  7. O

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anavituko

    mkuu hapo ni ngumu kukupa ushauri,
  8. O

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanafunzi wa UDSM (COET) agongwa na gari

    Da!!! Polen sana yaan nasoma huku machozi yananilenga R.I.P.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Hahaha, Diamond hapa utatokea wapi?

    Kweli ushabiki ni mbaya hivi kuna nyimbo imehit Zaidi ya nan kama mama? Hiv ni kweli mwana ni video bora? Anachofanya diamond ni kuonyesha watu kua anaweza kuimba mziki wa aina yoyote kulingana na mashabiki wake.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii namba ni ya mtandao gani?

    Ni ya tigo hiyo wakuu mm walisha nipigia mara mbili
  11. O

    JamiiForums Tanzania Wasanii wanatoa video za mamilioni lakini maisha yao ni duni

    Kama hamjui ile video iligarim sh. 40million.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Naona kama mtoa mada ana mpnz sana na kiba Haya ndio madhara ya team fulan.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Haya ndio majina ya kike na kiume yenye mvuto wa kimapenzi

    Timothy Irene Angel Peter
  14. O

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kum spy mpenzi wako kwa kutumia whatsApp web

    Wapendwa mm bado cjaelewa hapo txt unazipata kupitia kwa cm yako au kwa pc!
  15. O

    JamiiForums Tanzania Umetembea na mke wa mtu umeamka asubuhi ukakuta sehemu ya siri haipo utachukua uamuzi gani?

    Mkuu una story Za kusadikika sana.
Back
Top Bottom