Recent content by Ochu.

  1. Ochu.

    JamiiForums Tanzania Josephine Lemoyan na Pamela Maasay wachaguliwa kuwa wabunge wa Afrika Mashariki kutoka CHADEMA

    Ni aibu kama hawa wabunge wetu wameona maelezo ya wawili hawa yanajitosheleza kutuwakilisha kuliko wale waliowanyima kura..yaani wako radhi kuangusha taifa kisa vyama
  2. Ochu.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliopitia magumu katika familia za kufikia, mlihimili vipi mateso mpaka kufikia mafanikio?

    Exactly. .
  3. Ochu.

    JamiiForums Tanzania Soma Ufahamu

    Tofauti ya B na D ni ipi?
  4. Ochu.

    JamiiForums Tanzania Moniccca anawaaga jamani

    My name is my name aliaga hivi hivi na story ya Canada..tunasubiri new ID..
  5. Ochu.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemkumbuka huyu mtu my name is my name

    Kaka nimekuelewa sana ulivyoload..
  6. Ochu.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume hahitaji mwanamke wa hivi

    Yaani wadau wanavodiscuss ni kama option ziko mbili,first mzuri asiye na maadili na mwenye maadili asiye mzuri...bros you can have one with both qualities..na wapo wengi tuu..
  7. Ochu.

    JamiiForums Tanzania Popular Quotes

    "There is no bad religion,there is only bad people".
  8. Ochu.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume kuwa na siri

    Inaonesha hayuko huru kwako kama rafiki..mbali na kuwa mwenza yakupasa umfanye awe bestie yako sister..
  9. Ochu.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimya wake unaniweka njia panda, naomba ushauri

    Sasa ni zamu ya kupenda unapopendwa...la sivyo utatumika sana...
  10. Ochu.

    JamiiForums Tanzania Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

    You are welcome.. Keep it that way..Blesses.
  11. Ochu.

    JamiiForums Tanzania Member wa JamiiForums unayemkubali zaidi

    mshana jr , heaven sent , Kaboom na Paulo Sergio ... Wanaonesha wako simple sana nawakubali..
  12. Ochu.

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Boss amenipenda ameomba tuishi wote, nikubali?

    Kama unajiskia kuchepuka wewe chepuka tuu,ila mwanaume haamii kwa mwanamke tena una kazi kabisa..where is your manhood?
  13. Ochu.

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Umeniwahi mkuu, Andy Dufresne na Red(Morgan Freeman) bila kumsahau Brooks walinifurahisha..best movie of all time.
  14. Ochu.

    JamiiForums Tanzania Nini story au kisa nyuma ya username yako na avatar yako hapa JF

    User name Ochu inatoka kwa my late best friend tulicheza wote na kusoma wote hadi tulipofika 11 years, siku moja tukiwa tunacheza akashikwa na haja akawa anakimbilia kwao ndipo alipokanyaga mfuniko mbovu wa chemba na kutumbukia ndani huku tunamwona,kwani tuliishi kwenye flats,alitolewa...
Back
Top Bottom