Mwanaume kuwa na siri

Mwanaume kuwa na siri

Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.

Nakaribisha maoni yenu[/QUOTE

Mmhh sasa hamjaoana siri zimeanza je mkioana itakuwaje???? I smell fishy very fishy... Why kujipa headache kwa kujiumiza bure kwa mtu kama huyo... Anyway , I dont believe in secrets with someone that who has good future plans together , no.... Well kaa nae chini na utoe dukuduku lako kwake kama ukiona no change acha kujipa pressure mpendwa , achana nae .. Na utapata atakekufaa na kuwa mmkweli sio mfichaji kwako.... Thanks..

The guy is full of shit, that's one of the signs
 
Huaminiki au ana historia mbaya dhidi ya mademu au kijiweni wamemkalikisha vby kijiweni
 
The guy is full of shit, that's one of the signs
Yes He is.. Ningekuwa Mimi ni huyu Dada , huwa sidhani kama ningekuwa na amani in my heart I would just walk away... Life is too short .. After all mbona wanaume wapo wengi tuu... Pressure zote ni za nini za kujitakia , mmmmhmmh... Ila ndio kila MTU na moyo wake na maisha yake... Thanks...
 
Inawezekana anataka akudrop pale atakapomaliza kukutumia hivyo hataki ujue mambo yake usije ukamlipizia au kumdhuru atakapokuumiza. Sio sawa kuwa msiri iwapo mna malengo ya kuwa pamoja mda mrefu

Very true.. Niliishuhudia issue like this with my own eyes ... Thanks..
 
Inaonesha hayuko huru kwako kama rafiki..mbali na kuwa mwenza yakupasa umfanye awe bestie yako sister..
 
sometimes hawa wananwake tunatakiwa tuishi nao kwa akili sanaaa,sio kila jambo ni la kumwambia mwanamke hata kama ni mke wako.
mengine yanawakati wake
 
Unataka ushauri gani kwani kwa huo uchafu uliouandika?!jipange
 
Kwani hata kitandani anakufanyaga kwa siri bila kukuambia...
 
Ndio mwanaume wa kweli..akuambie kila kitu ili umpande kichwan
 
Ww unaonekana mbeya sana na siku akikwambia utasema humu
 
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.

Nakaribisha maoni yenu
Njoo magetoni nikupe siri zake!
 
Mimi nina mpenzi wangu ambaye tumeishi naye muda mrefu.Tatizo la mpenzi wangu ni kuwa msiri na mambo yake anayofanya hapendi kuweka wazi, ninashindwa kuelewa kuwa ni kwanini.

Nakaribisha maoni yenu
Yawezekana ni mme wa mtu, we umedandia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom