Mwanaume hahitaji mwanamke wa hivi

Mwanaume hahitaji mwanamke wa hivi

Kutoka my foot! Kama ndani ni jehanamu on daily basis mtatoka kwenda wapi kwa mfano? Labda mtatoka kwenda mazishini ama msalani!

Most beautiful girls,especially in towns and big cities are a bundle of trash! You only enjoy them one week tops! The rest of 'till death-do-us-apart' inakua miiba na michongoma!

They lack basic life skills required in a wife to stay a wife and be a good mother -the backbone of the family

They are big headed and inconsiderate and they only perform when things are going merry!

At the first sign of trouble,financially, they are easy to take refuge under external references - easily screwing around and hardly have time for perseverance!

Lastly, pretty girls - msijisifu sana, ku*ma zenyewe za kuringia hamna. Demu on the outside yupo kama kashushwa, go with them faragha ushangae,full disappointments! (I am speaking out of experience as I ate a handsome number of nice looking chicks during my time).

The so 'not so beautiful' girls knows this fact and are on a constant quest to better themselves,to prove themselves,to prove to the world - family,husband,society that they are blessed 'in other areas' except beauty and they do a pretty damn good work out of it and the society is better off as a result!

Give me an example of a beautiful wife's happy & blissful marriage and I will give you fifty examples of 'not-so-beautiful' wives living their heaven right here on earth!

Don't bury your head in the sand and get ahead of yourselves pretty girls!!
Ha ha ha ha ha chezea kuoa mke wa kumvumilia, wewe oa huyo huyo mbaya hata msibani huongozani nae, umfungie ndani huku ukizifaidi hizo akili zake eti kutoka my foot lol huyo asietoka mke au mlinzi wako sasa? Hujui mitoko ndo mapenzi yenyewe....
Wanawake wazuri wenye ndoa zao wapo kibao tu, evelyn salt na wengine wengi
 
wanawake wenye sura za kawaida na wezelee la kawaida ndio wanao ongoza kuolewaa

Hapa mtaani kwetuuu ukisikia matarumbetaaa na honiii
za magarii ...yaanii pipiiiipiii holaaa pipiiiipiiiiipiiiii hola watu lazima waulize kuna mtu anaoa au anaolewaaa..wakisikiaa anaolewaaa mbiombio kwenda kucheki sura na shape ya bibi harusii utakuta bibi harusi wa kawaida kweliiii ...hako ndo kautafitii tunako kafanyaga hapa mtaanii

Kama unabisha utafiti anzia kwenu
Angalia sura na shape ya mama yako
Hamia kwa majirani angalia sura na shape za wake zao

afu hamishia utafiti kwa nyumba za kupanga ..lazima utakuta wamama wazuri rangi ya chocolatee umbo namba nanee nyuma kajazia sio sana ila kapanukia maeneo ya nyonga kama watoto wa kinyankoleee lakini kapangishiwa chumba na mwanaume aliyeoa mke wa kawaida na anamtumia kama nyumba ndogo

Hamia kwa wake wa waheshimiwa kama ma first lady wetuuu hapo ndo utakosa cha kujibu

wanawake wakali wanaolewa na mabishoo kama kina chibu na wengineo
Kwa sababu wao ni wazee wa mauzo ila varangatii wanariona kila siku wanavyosumbuliwa

KWAKO EVERINE SALT so kila jambo lazima ubishe mwingine ni ukweli mtupuuu ..hope umenielewaa

IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI
MAKAPUKU FORUM
ndg DEKITAMBI
Nikubali nini sasa kwamba unahitaji mke mwenye akili wa kukushauri ukanunue kiwanja? We hujui kama unahitaji kiwanja?ndo maana siku hizi tunawaoa kwasababu part yenu wanaume ndo mnataka tuifanye sie
 
Ulieanzisha huu uzi utakimbia, ngoja waje wenyewe
 
Ha ha ha ha ha chezea kuoa mke wa kumvumilia, wewe oa huyo huyo mbaya hata msibani huongozani nae, umfungie ndani huku ukizifaidi hizo akili zake eti kutoka my foot lol huyo asietoka mke au mlinzi wako sasa? Hujui mitoko ndo mapenzi yenyewe....
Wanawake wazuri wenye ndoa zao wapo kibao tu, evelyn salt na wengine wengi
"Kutoka ndo mapenzi" kama akili yako ndo inaishia hapa basi mumeo ana boongeee la hasara af uspende kujipigia chapuo et we mzuri. Wacha wajuvi wakusifie
 
"Kutoka ndo mapenzi" kama akili yako ndo inaishia hapa basi mumeo ana boongeee la hasara af uspende kujipigia chapuo et we mzuri. Wacha wajuvi wakusifie
Wale wale mfungie mkeo ndani kama makochi, basi mie mbaya mzuri wewe una sura nzuri na shape matata..... Umefurahi mrembo?
 
Ha ha ha mpendwa watu wengine ni wanafiki mnoo, kujifanya ooh mwanamke akili, mwanamke lele lele anaoa mwenye akili anaenda kumuweka ndani kama makochi
Ukimkuta bar na marafiki anakuja na katoto kazuri sura ya mdoli..... Eti mpendwa huu si ni usengre au?
Mkuu umejaliwa kijungu nini? maana huwo ndio ugonjwa wangu sio siri
 
Yaani wadau wanavodiscuss ni kama option ziko mbili,first mzuri asiye na maadili na mwenye maadili asiye mzuri...bros you can have one with both qualities..na wapo wengi tuu..
 
Kama kijungu ndo ugonjwa wako basi hapa utakufwa kabisa 😀😀😀

Nakutania mwayego.....
wasiwe wanakuonea wivu bwana, hawajui kijungu ni mali mjini itabidi nikuzawadie hata ka I.S.T mkuu wenye uchu wasiwe wanakumezea mate njiani unavyotembea.😀😀😀
 
Back
Top Bottom