Recent content by Ochoa Home Decor

  1. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILES

    CERAMIC TILE FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILE Na Ochoa Home Decor NI ZIPI CERAMIC TILE? Ceramic tile ni zile tiles zote zinazonyonya maji kuanzia asilimia 6.9 na kuendelea (6.9%...) Hizi zimetengenezwa kwa material mepesi zaidi... AINA ZA CERAMIC TILE. Kunaaina mbili za Ceramic tile...
  2. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

    Jua la dar linachoma kulingana na kipato chako, Msongamano pia ni kulingana na kipato chako, Dar inabaridi kuliko Njombe na Makete huko ni vile tuu unamiliki pesa ngapi [emoji23]
  3. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kwanini katika jamii ya wamasai hakuna watu wenye ulemavu? Serikali inatakiwa kufanya nini ili kukabiliana na jambo hili kupitia utawala bora

    Wamasai walemavu wapo wengi tuu Nishawaona zaidi ya kumi Kuhusu ulemavu wa ngozi ndio bado sijawahi kuwaona Lakini ukumbuke pia hata hawa walemavu wa ngozi ambao sio wamasai pia wapo wachache, Unaweza kuzunguka hata wiki nzima dar usimuone mlemavu wa ngozi, Ukizingatia wamasai ni jamii ya watu...
  4. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Ujanja wa Rais Samia kutumia mpira kujizolea kura huku ripoti muhimu ya CAG iliyojaa wala rushwa ipo kapuni

    Mhhh umasikini wa taifa ufichwe na medali ya dhahabu ya mtu mmoja? Hii ya leo kali [emoji22]
  5. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Chalamila naona umepitiwa kaka

    Kwahyo hoja zote hizo wewe umeona R na L tuu ama nini?
  6. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Mie sijawahi kuona au kusikia mtu analaumu usalama wa taifa mtaani Mimi naona ni serikali tuu kiujumla sijajua mtaani kwako huko[emoji23]
  7. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

    Tafuta kwanza elimu ya biashara Boss Inaonekana huna kabisa elimu ya biashara
  8. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za Plaster

    Mifuko 24 hiyo plaster au palasta?[emoji23]
  9. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Kuna faida zozote za kumtumia Architect? Ama ni kupoteza pesa tu?

    Dah wabongo kwa kurahisisha konyooo [emoji23][emoji23] Kitu cha kujifunza miaka sita au saba wewe unamshauri mtu ajifunze mtandaoni tuu kwa siku mbili tatu? Haya bwanaa kila la kheri
  10. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Watu wa kuchora ramani za nyumba punguzeni udalali

    Ndio Na wenzetu ndivyo wanavyofanya Sisi huku kinjaa njaa tunachukua hizo laki 3 laki 4
  11. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri kwa mtaji wa 40 milionI

    Achana na hiyo biashara ya gari kama huna pesa Biashara ya magari ni angalau uanze na magari 5 Gari moja huwezi pata faida labda ukomae mwenyewe Nayo bado ni ngumu sana
  12. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unayoweza fanya yenye uwezo wa kuingiza milion 300 kwa mwaka kwa kutumia mtaji wa bilion 1?

    Jenga uza, Biashara ambayo ukiingia vizuri utapata faida kubwa sana pengine zaidi ya hiyo kwa mtaji ulionao Lakini inapaswa upate mtu sahihi mwenye huruma maana mafundi tunajijua Karibu sana kama ukiwa tayari tupeane mpango kazi [emoji3513] +255 714 122 011 Karibu sana Hata ukiwa na mtaji chini...
  13. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Unatumiaje laki tatu kwa mwezi?

    Panga na mkeo acha kutusumbua sisi Mbona hamuwaamini wake zenu? Uje hapa utuombe wazo la biashara Mambo ya matumizi ni wewe na mke wako
  14. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Leo nimefukuzwa kazi rasmi

    Hongera sana Boss wako anataka ujitegemee Uache kupambania ndoto za mtu Anataka ujipambanie mwenyewe sasa Muda wa kujitafuta ushapita
  15. Ochoa Home Decor

    JamiiForums Tanzania Mpaka leo hakuna theist aliyeweza kuthibitisha Mungu yupo, cha ajabu bado wanatuhubiria Mungu wao

    Kama hujui tofauti yake basi tuishie hapo
Back
Top Bottom