Recent content by Ochere

  1. Ochere

    JamiiForums Tanzania Epson Printer L3060 Reseter Set up Keys

    ITS mpo wapi jaman toeni msaada baai
  2. Ochere

    JamiiForums Tanzania Epson Printer L3060 Reseter Set up Keys

    Habar ITS, Naomba msaada wa kiufundi kwa yeyote aliyena keys za kureset Printer aina ya Epson Namba L3060 Head Counter tuwasilkane pleas ni very agents Asanteni
  3. Ochere

    JamiiForums Tanzania Update yanayo jiri kwenye interview

    Cut off ni kubwa mnoo! 65%!!
  4. Ochere

    JamiiForums Tanzania Majibu ya mchujo wa NCAA

    Jamaa wameweka cut off kubwa! 65% hata Bora wangeishia 50% angalau inatia moyo
  5. Ochere

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Spare parts za Engine aina ya 2L Kama Vile Cylinder Head, Ring, Main& Con. Cylinder Gaskets, Timing belt,
  6. Ochere

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Habari wanajanvi, naomba kupata contact ya Maduka ya wanayouza Japan spare parts za injini! Nahitaji spare kwa ajili ya kufanyia service injini ya ghari yangu!Niko Tabora so ningependa nijue bei za hzo spare kwa ajili ya kuagiza
  7. Ochere

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ununuaji wa magari

    Habari wanajamvi, samahani naomba kama kuna yeyote anayejua Wakala wa Japan spare parts hapa Bongo anisaidie mawasiliano. Kuna spare parts nahitaji kwa ajili ya injini ya gari
  8. Ochere

    JamiiForums Tanzania Wanao penda Noah tukutane apa

    Bei ghani Sent from my supremeT5 using JamiiForums mobile app
  9. Ochere

    JamiiForums Tanzania Njoo uagize gari la ndoto yako

    Habari yako, Nahitaji Toyota Hiace Van Min Bus ntaipata Tsh ngapi kwa
  10. Ochere

    JamiiForums Tanzania Habari zenu nauza runx namba D

    Habari wanajanvi, Natafuta Ghari aina ya HiCE ndogo mfano Toyota HICE au NISSAN ila iwe Manual ya kutumia diesel kwa matumizi yangu mbali mbali Ghari hilo liwe kwenye khali nzuri na hata hvyo uchumi umebana saana so budgets yangu ni ML 6 points Anyone mwenye nalo au kujua pls PM
  11. Ochere

    JamiiForums Tanzania Battery ya PC imekufa au

    wakuu naomba msaada wa Kupakua Power DVD 13 with series Keys Na namna ghani ya kuweka keys kwenye power DVD ambayo ni trial kwenye PC
  12. Ochere

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Nimejaribu hvyo ila mbona haijatoka!! Labda kuna maujanja mengine!
  13. Ochere

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Pls wadau wenye maujanja kuhusu namna ya kunlock mtu aliyekublock WhatsApp
  14. Ochere

    JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Wadau naomba msaada, unawezaje kunlock au kuenfelea kuchart na mtu aliyekublock kwenye WhatsApp yake kwa kutumia hyohyo WhatsApp yako aloblpck? Msaada pls kwa wenzangu wenye mahujanja
Back
Top Bottom