Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,718
- 6,441
Solved, imezibika. ThanksInazibika bila shaka lakini ukipata fundi mahiri, mjuzi
Solved, imezibika. ThanksInazibika bila shaka lakini ukipata fundi mahiri, mjuzi
spare za gari ganiWadau naomba kujua mtandao mzuri wa kununua spares online.
Habari wanajanvi, naomba kupata contact ya Maduka ya wanayouza Japan spare parts za injini! Nahitaji spare kwa ajili ya kufanyia service injini ya ghari yangu!Niko Tabora so ningependa nijue bei za hzo spare kwa ajili ya kuagiza
Kamwe usweke N wakati gari iko kwenye mtelemko au ikiwa inatembea. Unaondoa mawasiliano kati ya engine na gear box na ni hatari kwako hasa kwenye mteremko.Wakuuu gari yangu ina shida ya kuzima engine wakati nashuka kwenye mteremko, huku nimeweka neutral gear (Gar ni automatic)
Je shida n nn...?
Kwanza ni hatari kufanya hivyo lakini pia kuna shida kwenye mfumo mzima wa mafuta naonaWakuuu gari yangu ina shida ya kuzima engine wakati nashuka kwenye mteremko, huku nimeweka neutral gear (Gar ni automatic)
Je shida n nn...?
Poa mkuuKamwe usweke N wakati gari iko kwenye mtelemko au ikiwa inatembea. Unaondoa mawasiliano kati ya engine na gear box na ni hatari kwako hasa kwenye mteremko.
ok, sasa naanzia wap kusolve ishu hii..Kwanza ni hatari kufanya hivyo lakini pia kuna shida kwenye mfumo mzima wa mafuta naona
ok, sasa naanzia wap kusolve ishu hii..Kwanza ni hatari kufanya hivyo lakini pia kuna shida kwenye mfumo mzima wa mafuta naona
ok, sasa naanzia wap kusolve ishu hii..
Hii shda kwenye mfumo inasababishwa na nn
Ni gari ya aina gani!? Unatumia mafuta ya kidumu mara kwa mara? Unatembelea mafuta kidogo muda mrefu? Kwa ushauri mpate fundi mahiri mjuziok, sasa naanzia wap kusolve ishu hii..
Hii shda kwenye mfumo inasababishwa na nn
Gari ni ISTNi gari ya aina gani!? Unatumia mafuta ya kidumu mara kwa mara? Unatembelea mafuta kidogo muda mrefu? Kwa ushauri mpate fundi mahiri mjuzi
Gari ni IST
Sitembelei mafuta kdogo mda mrefu
Situmii mafuta yq vidumu hqta mara moja
Najazaga mafuta ya Campun yq Gapco mara nyng.
Mshana Jr naomba unisaidie na wadau wengine tatizo la gari langu ukiconnect switch ya temperature gari linachemsha na ukidisconect hiyo switch gari linakuwa normali yaani feni zinakuwa ni direct,nimejaribu kubadilisha water pump lkn bado shida ipo tu,naomba msaada jamani
Maelezo yako hayajajitosheleza hapo kuna matatizo sehem mbili inawezekana.Wakuuu gari yangu ina shida ya kuzima engine wakati nashuka kwenye mteremko, huku nimeweka neutral gear (Gar ni automatic)
Je shida n nn...?