Agizo ili alitaweza ongeza ufanisi kama wadau wengine hawatashiriki kikamilifu, kama shipping line hawafanyi kazi masaa 24 mizigo haiwezi kutoka haraka
Mheshimiwa Spika, sisi ambao ni chama tawala tufanye kazi, na kipimo chetu kiwe utendaji wetu inashangaza tunaacha kuongoza tunafanya kazi za Nape Nauye, yeye atafanya kazi gani?
Ndiyo maana kunatokea matusi bungeni kwani badala ya sisi kufanya kazi za wananchi tunafanya kazi za watu...
Dr bana badilika ndugu, Hivi wewe Udaktari wako ni wa nini, unatumia macho na masikio gani? Nani amekupa kazi ya kutetea serikali wewe? unalipwa shillingi ngapi? je Una ndungu maskini huko vijijini? Tafakari na chukua hatua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.