Recent content by ocdti

  1. O

    Fahamu tofauti kati Kadinali na Askofu ktk kanisa Katoliki

    Kardinali kwa kilatin n sante romane eclensie cardinale kwa kiingeleza n kardinali wa kanisa katolik la roma Wengi hudhan kuwa kardinali mfano pengo ni mkuu wa kanisa katolik Tanzania hiyo siyo kweli kabsa Kanisa katoliki halina mkuu wa kanisa kwa nchi, ila linakuwa na mkuuu wa kanisa la...
  2. O

    Naomba ushauri -Jinsi ya ku cope unapoachana na mpenzi

    Chace anaother horse broooo never keep your life on hold
  3. O

    Kwanini Makonda hajareport TAKUKURU jaribio la kuhongwa pesa na Ruge?

    Swali n je mkuu wa mkoa anahusika na kutoa tenda???? Kwa utaratibu upo??? Bodi za zabuni zinaundwa na mamlaka za utendaji ambazo n ras kwa mkoa mkurugenzi kwa halmashauri na katibu mkuu kwa wizara mkuu wa mkoa anahogwa ili watu wapate zabuni kwa utaratibu upi ??!
  4. O

    Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

    Hatima ya kabudi ni kukana anachokiamin hyo inajuliana mm nimependa uwezo wake wa kujenga hoja
  5. O

    Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

    Hahahahaha alishabadirika huyu jamaa mungu angetupenda zaid awe rais wetu
  6. O

    Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

    Ila kwa hamasa waliyokuwa nayo kabudi polepole na warioba walikuwa waumini wa serikali tatu ambazo haziko ndani ya katiba ya 1977 Waliamin serikali tatu ndo suruhu la matatizo ya muungano
  7. O

    Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

    Cjajaribu aiseeh kama umemiskia lisu na kabudi utagundua lissu kafunikwa mno na mwalim wake Jamaa alikuwa kama prof anafundisha wanafunz Mm moinzani ila alichoongea kabudi n ukwel mtupu
  8. O

    Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

    Kwa muda mfupi aliokuwepo bungeni prof palagamba kabudi ameomesha uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kupangua hoja za upunzani Sisi wa kambi rasmi ya upinzani Kurusu maswala ya sheria na katiba tulimtegemea zaid mh sana Tundu antipas Lissu kwa uwezo wake na uelewa wake wa sheria Kwa...
  9. O

    Natafuta mume

    Lets hook up namit vigezo vyote
  10. O

    Ushauri: Mke wangu hataki tukaishi kwa wazazi wangu ili tubane matumizi tujenge

    Mke wako ana akil sana msikilize anakufundisha vema ujifunze kutafuta zaid upange ujenge na maisha mengne yaendeleee
  11. O

    Nairobi Vs Dar es Salaam: Towers over 20 floors

    Nairobi na dar haviendeni mazeee tuwe wawazi nairobi is far better
  12. O

    Tuliachana lakini anataka turudiane

    Tuma no hapa vijana wamsaidie Kama anataka mtoto
Back
Top Bottom