Recent content by OCCID Dominik

  1. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Je, huyu ndiye IGP ajaye? Mfahamu Kamishna Awadhi Juma Haji, anayesimamia Operesheni za Polisi

    Safi anafaa kuwa IGP,ni kuwanyoosha tuu
  2. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Mnafanyaje kupata mkopo kwa haraka na ipi kampuni nzuri inayokopesha online?

    Wakuu nahitaji nikopeshwe kwenye haya makampuni ya online,nimedownload app kadhaa na kuomba najaza taarifa zooote muhimu mwishowe naambiwa nisubiri baada ya nusu saa ntajibiwa halafu inakuwa holla.. Vipi wazoefu KAMPUNI ya uhakika ni ipi na nifanye je?
  3. OCCID Dominik

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Life style yangu ilinipotezea mwanamke mzuri

    Dah nimeishi sana mufindi aka Mafinga na viunga vyake,na hizo harakati ulizokuwa ukifanya kule nimezifanya sana Analyse pengine tunajuana
  4. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Hili hapa Bata la nanenane 2024 ndani ya Jiji la Mbeya...!!

    Karibu soweto bwana Liverpool VPN
  5. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Hili hapa Bata la nanenane 2024 ndani ya Jiji la Mbeya...!!

    Dah ila kuna kitu kidoogo nimenote hapa toka kwa huyu bwana liver pool VPN,thatz why jamaa ndoa na biashara vimemshinda😅😅hebu imagine mtu anakunywa pombe week kweli,huyu si anapata hangover ya mwezi wakuu🤣
  6. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Wakati Urusi ikizalisha drone 4,000 kwa siku, kwanini Tanzania tusitengeneze drone moja moja kwa kila mwaka?

    Kama kula tuu ni kwa shida sembuse drones😂😂😂😂
  7. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa milioni 10 stendi ya mabasi ya Magufuli Mbezi

    Huyu jamaa hata mimi nilitaka kuuliza mbona huu uzi wa mashtaka ya hv ushawahi postiwa miaka mingapi nyuma tena kopi and paste kbs,jamaa anafanya hv aidha adake mademu wakijua ana hela au kuwapiga watu😂😂👊
  8. OCCID Dominik

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upungufu wa nguvu za kiume ni stereotype

    Utasikia,"SIO HIVYOO! UMENIUMIZA HIII!,INATOSHA BHANA! BADO TUU HUJAKOJOA! USINISHIKE HIVYO!.ni vikauli vinafanya mtu aishie goli moja au akashindwa kukojoa kabisa😂😂🙏🙏
  9. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, kiprotokali ni sahihi kumtaja Rais wa Zanzibar kabla ya Waziri Mkuu wa Tanzania?

    KATIBA SURA YA PILI(SERIKALI) wanaohusika na mamlaka ya serikali ya jamuhuri ya muungano: -raisi wa jamuhuri -makamu wa jamuhuri -raisi wa Zanzibar -waziri mkuu wetu. NA HIYO NDIYO PROTOKALI MAANA YAKE.BUT ZANZIBAR TUMEWAMEZA.ukichek hata kiulinzi,mkuu wa jeshi Zanzibar ana cheo cha brigedia...
  10. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama Brigedia anaweza kuwa mlinzi wa Rais na kubeba begi

    Rank and file huwa nakutana nalo sana hili neno,ni general duty au tofauti
  11. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama Brigedia anaweza kuwa mlinzi wa Rais na kubeba begi

    Wachawi mmekuja
  12. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Sikujua kama Brigedia anaweza kuwa mlinzi wa Rais na kubeba begi

    Ipo hivi kunapokuwa na ongezeko la maofisa wenye vyeo bac ni kama thamani inashuka hv,mfano police zamani wakuu wa vituo vidogo unakuta ni STAff sergeant au koplo tuu wa kawaida,ila siku hz mkuu wa kituo kidogo ana nyota mpaka mbili,ma OCD wilaya nyingi wana ngao na nyota moja.msemaji wa jeshi...
  13. OCCID Dominik

    JamiiForums Tanzania Kama kujiuzuru kwa Ali Kamwe ni Sababu ya kurudi kwa Haji Manara, ni bora Manara aondoke Yanga

    Hicho kitengo ni cha haji Manara wala ally hajajiuzuru kwa maksudi ila ndivyo ilipangwa afanye hivo Manara akirudi
Back
Top Bottom