Recent content by OBSAMA

  1. OBSAMA

    Kwa matokeo haya naweza kupata diploma ya clinical medicine?

    Vipi mkuu tayari unasoma hii course..
  2. OBSAMA

    NAFASI YA MASOMO MWAKA 2018

    Naomba kufahamu kama watakua na intake ya mwezi March. Asante.
  3. OBSAMA

    NACTE WAMETOA MAJIBU YA APPLICATION

    Subiri dirisha lifunguliwe kila kitu kitakua poa, dirisha linafunguliwa tar 15 January.
  4. OBSAMA

    Maazimio ya vyama 6 vya upinzani ni mtego kwa Rais Magufuli

    Ingekua bunge la Afrika labda tungetishika. Walaya waache na Ulaya yao na sisi watuache kama tulivyo. Hatutaki chokochoko zao. Mambo ya Libya na Iraq hatuyataki. Mbona huyo Trumpet kilasiku anazingua huko kwao, anaachisha watu kazi kibabe tu. Kwahiyo human rights ni Africa tu. Tutasimama na...
  5. OBSAMA

    Maswali yanayoulizwa kwenye interview utumishi

    Fuata Maelezo ya mpombote hapo juu
  6. OBSAMA

    Maswali yanayoulizwa kwenye interview utumishi

    Umeitwa kufanyiwa interview gani
  7. OBSAMA

    ADA KWA COARSE YA CLINICAL MEDECINE VYUO VYA SERIKALI

    Kwani application zisha anza? Nadhani itakua hadi mwezi January.
  8. OBSAMA

    Ukiwa na GPA kubwa,, Huwezi kosa kazi ya kile ulichosomea ,naamini hvyo..

    Kumbe bado hauja graduate! Graduate kwanza alafu uje upige interview na watu wenye GPA za gentlemen ndio utajua. Ajira ina siri kubwa Mdogo wangu.
  9. OBSAMA

    Kulogin udsm Aris

    Alafu kijana inakuaje hadi mwaka wa 3 bado unatumia surname, binadamu tunatofautiana wahuni wanaweza kua wamekuotea kisha wakabadirisha password. We chamsingi fuata ushauri tulip kupatia.
  10. OBSAMA

    Kulogin udsm Aris

    Nenda department, au college yako hapo watakurekebishia.
  11. OBSAMA

    Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-apply vyuo vya afya kupitia NACTE

    Subiri dirisha lifunguliwe hapo mwezi March.
  12. OBSAMA

    Kulogin udsm Aris

    Upo mwaka wa ngapi? Nenda ARIS pale library watakusaidia au department yako kwamtu anaehusika Na Aris atakusaidia. Ungekua CoNAS ningekueleza, Mimi mwenyew kipindi nilikumbwa na mikasa hiyo mwaka wa kwanza.
  13. OBSAMA

    Msaada wa kuandika research proposal.

    Jibu lakisomi, hongera!
  14. OBSAMA

    Mbowe na Mashinji wavutana kwa hoja kwa zaidi ya masaa mawili, ni kuhusu hatima ya Komu na Kubenea

    Hiyo Audio ya Komu na Kubenea wameiamini ila ya Mbowe na Wema ni wahuni walitengeneza, hiki chama na watu wake wajitafakari
  15. OBSAMA

    Pongezi (za awali) kwa CHADEMA kwa uamuzi mgumu dhidi ya Kubenea na Komu

    CHADEMA sahizi nikama vile tamthiliya ya SULTAN (Ottoman empire).. Sijajua Hurrem ni nani
Back
Top Bottom