Yeah brother nataka soma hiyo
Naomba kujua ada za coarse ya clinical medicine kwa vyuo vya serikal ukiapply kupitia NACTE
Kwani application zisha anza? Nadhani itakua hadi mwezi January.Mi pia nipo kwa process hvy
Harafu masomo yataaza mda gani mkuuKwani application zisha anza? Nadhani itakua hadi mwezi January.
Naomba kujua ada za coarse ya clinical medicine kwa vyuo vya serikal ukiapply kupitia NACTE